Sasa hivi nimeacha kuangalia Startv

Sasa hivi nimeacha kuangalia Startv

CAVENDISH

Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
29
Reaction score
5
Hiki kituo kilikuwa kinatoa taarifa nzuri sana zisizoelemea upande wowote, nilikuwa naangalia habari za kimataifa, michezo na bbc ila tangu waanze kuwa imbalance nimeshakisahau kituo hiki na bbc sasa hivi naangalia kupitia internet. Msipojirekebisha tutawasahau ktk ulimwengu wa habari
Nawakilisha
 
Mkuu,kiswahili umejifunzia wp,unanipa shida sana kuelewa point yako nn
 
hiki kilhkilikuwa kunatoa taarifa nzuri sana zisizoelemea upande wowote, naangalinilikuwanaaza kimataifa, mkimat na bbc kinaadaanza ub sina mu tena hasasa hivmichenagalia kupitiabhatakinibsasayhivinnaangaliaskupitia internet. Msipojirekebisha tutawasaha ktkuulimwengu wahhabari
Nawakilisha

Yawezekana una hoja lkn hebu soma mwenyewe uone kama ulichokiandika kinaeleweka.
 
hiki kilhkilikuwa kunatoa taarifa nzuri sana zisizoelemea upande wowote, naangalinilikuwanaaza kimataifa, mkimat na bbc kinaadaanza ub sina mu tena hasasa hivmichenagalia kupitiabhatakinibsasayhivinnaangaliaskupitia internet. Msipojirekebisha tutawasaha ktkuulimwengu wahhabari
Nawakilisha

aisee....
 
Elimu yako ndogo inaonekana hata shule hukuenda, maana unavoandika tuu inatosha niamini hivyo. uwe unaangalia katuni mambo ya siasa waachie wenyewe
 
Mie niliacha siku hizi hayo ma-tv. TV pekee yenye heshima ni ITV.
 
Star TV sitakaa niangalie kamwe hata kama ni baada ya uchaguzi,
 
Back
Top Bottom