ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,375
- 28,484
Times have really changed.
Huko nyuma ikitokea baba/mama akawa na mchepuko basi alikuwa infanyika siri kubwa na michepuko walikuwa treated kwa nafasi ya makahaba waliochangamka. Lakini michepuko nayo ilijua nafasi, most of them hawakutaka kuvuka mstari wa boundary yao.
Ila sasa hivi, michepuko imechangamka sana, unakuta demu anamuambia mshkaji kuwa mwambie mke wako asinipigie pigie simu asinizoee, unakuta kajamaa kanaingia kwa mwanaume mwenzakko akiwa hayupo, kanatumia hadi taulo zake kujifutia. Michepuko sasa hivi inakimbia misibani kusikilizia kama itaitwa kwenye mgao wa mali.