Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Kuanzia mwezi huu wa saba mpaka wa kumi kila kona ya nchi yetu ukienda maeneo ya mjini ni vumbi kwa kwenda mbele sitaki kuongelea vijijini sababu huko ndo habari ñyingine
Mfano sehemu kama posta, kariakoo kunakuaje na vumbi, mji kama tunduma unakuaje na vumbi, mji kama makambako unakujae na vumbi, inawezekana kutokomeza vumbi maeneo ya mijini na zile town centre kwa maeneo ya vijijini
Kuna mda najiuliza kwenye miji yetu tumeshindwa kuweka paving na lami kwenye kila barabara ili kupunguza hii adhi ya vumbi na ni kero sana kwa watu ambao hawana magari
Mji wa Florence walipiga mji mzima paving mwaka 1339 sisi kama nchi tunashindwa nini- mimi naamini tukiweka nia inawezekana kupiga paving na lami maeneo yote ya mjini
Nikiwa rais wa Tanzania baada ya kupima na kuwa na masterplan mpya hatua itakayofuata ni kuhakikisha kwenye miji ya tanzania kunakua hakuna vumbi naamini baada ya miaka 10 mpaka 20 tutakua tumefanikiwa kutokomeza vumbi kwenye maeneo ya mijini..
KUTAANZISHWA KAMPENI YA KUTOKOMEZA VUMBI MAENEO YOTE YA MIJI MIKUBWA, MIDOGO NA TOWN CENTRE KWA MAENEO YA VIJIJINI BAADA YA MDA MIJI YA TANZANIA MAENEO YA HAYO HAKUTAKUWA NA VUMBI TENA NA MATOPE KIPINDI CHA MVUA
www.jamiiforums.com

Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...