marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,092
- 1,917
Kadiri siku zinavyo zidi kusogea ni ukweli kwamba hali inaendelea kutengamaa na kuwa shwari ..
Zimebaki porojo za vijiweni na vumi za kichochezi kuhakikisha kuwa amani ina yumbishwa ila zote zinagonga mwamba na kufeli .
Utulivu ukisimamiwa navikosi vya usalama ume kuwa mkubwa sana na nnacho furahi zaidi ni kadiri siku zinavyo sogea ndio raisi wetu kipenzi cha wengi anazidi kuponya mioyo ya watanzania na yalio pita kusahaulika..
Ni toe rai lwa wale wanao jipanga kufanya uvunjifu wa amani siku za usoni acheni na msi turudishe nyuma sisi tunasonga mbele.
TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE.