Sarkozy speaks out against burka

Swala la gays ni mjadala mwingine, lakini angalia jinsi watu wa Ulaya wanavypshangaza. Wanavumilia na kuelimishana sana juu ya kuwaelewa na kuwavumilia gays, na mpaka wanawapa haki za kufunga ndoa. Hiyo wanaelewa umuhimu wake. Lakini Burka is unacceptable!
 
Kama Ufaransa walikuwa hawataki utamaduni mwingine uingie nchini kwao kwa nini waruhusu wageni? Maana siyo kila mgeni mkimbizi. Kuna wageni wenye hati zote wamewa ruhusu kuingia bado wangeweza kuwazuia wasiingie. Kuna walioomba uraia wakapewa, kwa nini wawape uraia kama hawataki utamaduni wao?

Kama kuna watu wana kumbukumbu nzuri wakatumbuka kuwa miaka kadhaa iliyo pita weusi na immigrants walikuwa wana lalamikia sana unyanyasaji mpaka zikatokea riots kwenye miji kama ya Paris. This is not the first time Ufaransa kuleta ubaguzi wa aina fulani.

Nchi nyingi mbona inautamaduni mbali mbali tu. Hata hapa kwetu Tanzania kuna tamaduni mbali mbali tena kutoka makabila yaliyotoka sehemu zingine na kuja kutia nanga Tanzania. Nchi kama Wamarekani wazungu wengi wanatoka England, France, Eastern Europe na sehemu zingine tu zenye wazungu na hao wakaleta utamaduni wao zidi ya Wahindi Wekundu ambao ndiyo wazawa halisi wa Marekani.
 
Kinachosikitisha zaidi ni pale mtanzania anaposhindwa kuliona hili. Ufaransa wana tabia za kibaguzi.

Ukienda Paris sasa hivi utakuta wascittish kibao na visketi vyao, hakuna mtu anayewabughudhi. Tena ndio kwanza wanawapiga picha na kuwachekelea. Mwarabu akienda na Burka wanasema hawataki utamaduni tofauti.
Am sorry but thats a crap!
 
Zemarcopolo said:
kwa hiyo waziri Batilda Buriani,Hawa Ghasia na wengine wakienda ufaransa inaabidi wafunue vichwa? Kumbuka sheria haihusu wanaohamia tu!!!

Zemarcopolo,

..kama sheria za Ufaransa haziruhusu kuvaa burka/hijab basi mawaziri wetu wanaozingatia mavazi hayo watalazimika kuheshimu sheria hiyo wanapotembelea Ufaransa.

..the same applies kwa Mawaziri wetu wanaopenda minofu ya nguruwe. wakitembelea Iran,Saudia,etc wapaswa kuzingatia sheria za huko na kujinyima minofu ya nguruwe.

NB:

..gayz hawako wengi kama wanavyodai. advantage waliyonayo ni kwamba wana pesa nyingi. wanachofanya ni kuwa-blackmail wanasiasa kwamba: "usipo-support gay rights tunamwaga fedha kwa mpizani wako."
 
French parliament to consider burka ban

The French National Assembly announced Tuesday the creation of an inquiry into whether women in France should be allowed to wear the burka, one day after President Nicolas Sarkozy controversially told lawmakers that the traditional Muslim garment was "not welcome" in France.

A cross-party panel of 32 lawmakers will investigate whether the traditional Muslim garment poses a threat to the secular nature of the French constitution. They are due to report back with their recommendations in six months. Last week 57 lawmakers -- led by communist legislator Andre Gerin -- signed a petition calling for a study into the feasibility of legislation to ban the burka in public places.
On Monday Sarkozy declared in a keynote parliamentary address that the burka, which covers women from head to toe, is "not welcome" in France.

The problem of the burka is not a religious problem. This is an issue of a woman's freedom and dignity. This is not a religious symbol. It is a sign of subservience; it is a sign of lowering. I want to say solemnly, the burka is not welcome in France," Sarkozy told lawmakers.
The right of Muslim women to cover themselves is fiercely debated in France, which has a large Muslim minority but also a staunchly secular constitution.

In 2004, the French parliament passed legislation banning Muslim girls from wearing headscarves in state schools, prompting widespread Muslim protests. The law also banned other conspicuous religious symbols including Sikh turbans, large Christian crucifixes and Jewish skull caps...........
More: French parliament to consider burka ban - CNN.com
 
In 2004, the French parliament passed legislation banning Muslim girls from wearing headscarves in state schools, prompting widespread Muslim protests. The law also banned other conspicuous religious symbols including Sikh turbans, large Christian crucifixes and Jewish skull caps...........

..inaelekea hii kitu si kwa wavaa burka tu.

..Wafaransa wanapenda kutembea uchi zaidi.
 
Jokaa Kuu mi nadhani una hoja,

Hivi mtu unaweza kwenda ukala nguruwe Saudia au nchi nyingine za kiislam?

Hawa hawa wanaolilia uhuru ndo wako mstari wa mbele kuwanyanyasa wale wasiokubaliana nao. Think of Sudan na makabila ya kusini..Mtu ni msudani..lakini akiwa Khartoum haruhusiwi kunywa bia au kufanya atakalo..yet the country belongs to them all...

Otherwise naona kuna double standards. WATU WANALILIA UHURU lakini wao hawataki kuwaweka huru wengine. Mimi nitawaelewa hawa jamaa wanaolilia burka kama na wao wakiruhusu watu kufanya mambo yao. Leo ukiwa Khartoum au SAUDIA huruhusiwi hata kuonja ka-bia ka tusker kisa eti ni haramu..yet wao wakija kwenu wanataka wafanye watakayo. Granted..basi wawaruhusu na wengine kufanya yanayowahusu. What have you got to do with my having a bottle of beer? Nothing...

Kwa Tanzania..hili siyo tatizo..hata ukivaa burka..wengine hatujali....kwa sababu..hainizuii kula kiti moto yangu au kula bia yangu..as long as unaheshimu uhuru wangu..na mimi hakika nitaheshimu wa kwako. Tatizo la hizi dini ndo hilo.....watu wanakuwa hollier than thou..Hapa kuna swala la culture..lazima tulikubali..Mfaransa na mwarabu wapi na wapi? ndo hivyo inabidi tuvumiliane tuu..lakini ukweli unabaki pale pale..hatuna budi kuwaheshimu watu na mila zao..

Ufaransa ni ya wafaransa...wana haki ya kujiamlia wanavyotaka kuishi...na wala hapa hakuna ubaguzi....same applies in Saudia ni ya wasaudia..kwa hiyo wao wakiamua kwamba mtu asili nguruwe kwao..hatuna budi kuwaheshimu na maamuzi yao..lakini na wao wawe tayari..kuheshimu ya wengine....wasivae burka au hijab..its simple....tatizo la hizi dini..wengi wanakimbilia ku-play victim`s card! kwamba wanaonewa..yet ukweli ndo huo...
 
Ushawahi kufika hii nchi inayo itwa Sudan?
 
Kinachosikitisha zaidi ni pale mtanzania anaposhindwa kuliona hili. Ufaransa wana tabia za kibaguzi.

Ukienda Paris sasa hivi utakuta wascittish kibao na visketi vyao, hakuna mtu anayewabughudhi. Tena ndio kwanza wanawapiga picha na kuwachekelea. Mwarabu akienda na Burka wanasema hawataki utamaduni tofauti.
Am sorry but thats a crap!
Ufaransa wanaogopa nchi itageuka kuwa Islamic state baada ya miongo michache ijayo, maana idadi ya Waislam ni wengi na wanaongezeka kwa kasi ya Formula 1.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=6-3X5hIFXYU"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]
 
Zemarcopolo said:
Hivi kweli mtanzania anaweza kumuelezea msomali kama mtu asiyependa kufanya kazi?
Wasomali waliokuja Tanzania ndio wanafungua mahoteli na kuajiri watanzania. Mpakani Namanga ni wasomali wanafanya biashara zote pale.

Zemarcopolo,

..Mtanzania wa kawaida kazi ni KILIMO au shughuli yoyote ile ya SHULUBA.

..binafsi sijaona Msomali anafanya kibarua cha kulima miraba, au kubeba lumbesa.

..kama ulivyoeleza "ndugu zetu" wa Kisomali wako kwenye mahoteli[wakusanya pesa, siyo wahudumu au wapishi], dereva wa magari ya mizigo[siyo utingo]. pia wanatuhumiwa kwa uwindaji haramu, na biashara za magendo.

..Watanzania hata kama wanaishi karibu na "jirani zao" wa Kisomali hawataweza kukueleza jirani zao hao wanafanya shughuli gani haswa ya halali.

..pamoja na kwamba Wasomali wamekuwepo Tanzania tangu sijazaliwa, sijawahi kukutana na daktari,muuguzi,mhasibu,mhandisi,mwalimu,mason,mbeba zege, fundi fenicha,fundi viatu,utingo,.. mwenye asili ya Kisomali. pia sijawahi kuona Msomali yeyote aliyeoa au kuolewa na mwenyeji. may be i need to travel more around the country.
 
You dont need to travel just stand by the ''highway'' and you will see alot of them driving trucks.
Kuhusu kuoa au kuolewa, ni mjadala mwingine- lakini inaelekea hukai karibu na wasomali. ujanja wako tu, ingawa jamii yao inajiprotect kama makabila mengine yanavyojiprotect.
b.t.w kazi sio mpaka mtu abebe mzigo, kwa design hiyo inamaanisha Obama hafanyi kazi?!
 
..kwani Wafaransa wana utamaduni wa kuvaa burka?

..hili ni tatizo ambalo limepelekwa Ufaransa na wakimbizi toka nchi za Kiarabu.

..ilitokea aibu kubwa jamaa hawa wakazomea wimbo wa taifa wa Ufaransa walipocheza na Algeria.

..halafu tatizo lingine wanazaana sana, hawataki kusoma, hawataki kujifunza Kifaransa,hawataki kazi, na siku zote wanasingizia ubaguzi.

..Sarkozy aache ku-dance around the bush. akusanye tu wakimbizi hao, akawabwage walikotokea.

Mkuu elewa kua:
Wanaovaa Burka sio waarabu pekeyao, Kunawa-France wazelendo nao wanavaa burka, chakushangaza nihawa wa-fransa na westeners wanapohubiri democracy, freedom wakati waowenyewe wananyanyasa watu, sasa haowengine wasiokua na democracy wataiga wapi?
 
Bull said:

Bull,

..inawezekana kwamba wako Wafaransa wazawa wanaovaa burka. lakini ni ukweli usiopingika kwamba majority ya wavaa burka ni wahamiaji toka nchi za Kiarabu.

..sasa, if one prefers to wear a burka, what is she doing in France, of all the places? kwanini watu hawa hawahamii nchi ambazo ni friendly na welcoming kwa mavazi ya aina hiyo? na nchi hizo ziko nyingi tu.

..pia siyo kwamba ni burka peke yake ndiyo imekatazwa. wakristo wamekatazwa kuvaa misalaba openly. wayahudi nao wamekatazwa kuvaa kofia zao.

..uvaaji wa burka, misalaba,...hauendani na desturi za Wafaransa waliowengi ambao wanapenda kutembea uchi-uchi. leo hii ukienda kwenye nchi za kiarabu ukajaribu kutembea uchi-uchi kama Wafaransa unaweza kupatwa na dhahama kubwa sana. nashangaa kwanini wananchi mnashindwa kulielewa suala hili.

..binafsi nimemsikia PM Sarkozy akisema hawaruhusu mavazi hayo ktk maeneo yanayotoa huduma za serikali.

..tusubiri hiyo Tume/Kamati iliyoundwa kuchunguza suala hili itakuja na majibu gani.

X-Paster,

..video clip inayoelezea ongezeko la Waislamu duniani ni very interesting.

..binafsi najiuliza ongezeko hilo la waumini litakuwa na effects gani kwa UISLAMU wenyewe?

..kitu kimoja ambacho Waislamu wanajivunia ni ile purity and strict interpretation of the Koran. can that be preserved/enforced when Islam has spread into such vast territories and different cultures?
 
Last edited:
Aaaah sasa tunapotea, kama unaenda kwa jirani unakuta ana sheria zake usitake kuweka zako kwa kisingizio xha uhuru au democracy, france sio nchi ya kuvaa burka so why wavae burka tena sio hivyo wanalazimisha katika schools zinazotaka uniformity eti sababu anavaa hiyo so waruhusiwe, kama hawataki wahame waende kwenye uhuru, wasiingilie mipangilio na matakwa ya nchi za wenzao, wao wamehamia huko so sio kwao. cha kuazima hakisitiri tukumbuke
 
Nianze kwa kuuliza swali. Hivi wanawake wa kizungu wakienda Saudi Arabia wanaruhusiwa kuvaa mavazi yao au wanavaa Burka? Kama wanaruhusiwa kuvaa mavazi yao hadharani basi sioni tatizo kwa wanawake wa kiislam kuvaa burka huko Ufaransa. Kama wanalazimishwa kuvaa burka kwa mila na sheria za Saudi Arabia basi naona Sarkozy ana haki ya kuwambia wanawake wa Kiislam walioko Ufaransa kuvaa mavazi kwa mila na desturi za Ufaransa. Tit for Tat.
 
Ina maana hao wanawake wanao vaa Burka wanatoka Saudia tu au wapo wale wanao toka nchi zingine, lakini wameamuwa kujistili kwa kuvaa Hijab!?
 
..jamani suala hili halihusu uvaaji wa burka peke yake. hata kofia za wayahudi, na misalaba ya wakristo, imekatazwa.

NB:

..nakumbuka Laura Bush alipotembelea Saudia alivaa hijab.

..kwanini Malkia wa Jordan/Saudia/... akitembelea USA na nchi nyingine za magharibi halazimishwi kuvaa suruali,mini skirt, au kuonyesha cleavage?
 
Mawe walazimishe unataka wanyimwe Mafuta!?
 
Back
Top Bottom