sijuikitu JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 286 Reaction score 12 Jul 21, 2011 #1 Wadau hapa mnasemaje?.....naona kama vile "hay beibiii, nimekumisije?" Sarkozy (France) na Merkel (Germany)
Wadau hapa mnasemaje?.....naona kama vile "hay beibiii, nimekumisije?" Sarkozy (France) na Merkel (Germany)
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Jul 21, 2011 #2 Huyu mzee wa vimodo :tonguez:
pumbatupu JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 256 Reaction score 82 Jul 21, 2011 #3 sijuikitu said: wadau hapa mnasemaje?.....naona kama vile "hay beibiii, nimekumisije?" View attachment 34194 sarkozy (france) na merkel (germany) Click to expand... unaulizia hivyo kwani ndugu yako huyo??..wazungu hawanaga tabu sana anaweza kuwa anabandua..ila sidhan kama inakuhusu kiviiiile...
sijuikitu said: wadau hapa mnasemaje?.....naona kama vile "hay beibiii, nimekumisije?" View attachment 34194 sarkozy (france) na merkel (germany) Click to expand... unaulizia hivyo kwani ndugu yako huyo??..wazungu hawanaga tabu sana anaweza kuwa anabandua..ila sidhan kama inakuhusu kiviiiile...
Chris_Mambo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 595 Reaction score 122 Jul 21, 2011 #4 Not sure, but...., you never know!
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,690 Jul 21, 2011 #5 pumbatupu said: unaulizia hivyo kwani ndugu yako huyo??..wazungu hawanaga tabu sana anaweza kuwa anabandua..ila sidhan kama inakuhusu kiviiiile... Click to expand... Yaani kufanya kama kwenye avatar yako hadharani walaaa siyo shidaaa
pumbatupu said: unaulizia hivyo kwani ndugu yako huyo??..wazungu hawanaga tabu sana anaweza kuwa anabandua..ila sidhan kama inakuhusu kiviiiile... Click to expand... Yaani kufanya kama kwenye avatar yako hadharani walaaa siyo shidaaa
sijuikitu JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 286 Reaction score 12 Jul 21, 2011 Thread starter #6 pumbatupu said: unaulizia hivyo kwani ndugu yako huyo??..wazungu hawanaga tabu sana anaweza kuwa anabandua..ila sidhan kama inakuhusu kiviiiile... Click to expand... pumbatupu naona majina yetu wote wiwili yanatufaa.....hongera zako!
pumbatupu said: unaulizia hivyo kwani ndugu yako huyo??..wazungu hawanaga tabu sana anaweza kuwa anabandua..ila sidhan kama inakuhusu kiviiiile... Click to expand... pumbatupu naona majina yetu wote wiwili yanatufaa.....hongera zako!