Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,624
- 4,345
Kumbe na wao wana gwanda?Kombati za vijana wetu wa kumlinda uncle..
Presidential Security Unit. (PSU) .
Pale magogoni wapo sana.
Kumbe na wao wana gwanda?Kombati za vijana wetu wa kumlinda uncle..
Presidential Security Unit. (PSU) .
Pale magogoni wapo sana.
Ndio mkuu.Kumbe na wao wana gwanda?
Dah! Hawa jamaa bwana lakini ni sawa tu na wale wanaovaa suti au hawa wa combat wana ujuzi maalumuNdio mkuu.
Nahodha..... CCP kunamtoa Immagratio officer., police officer etc..Dah! Hawa jamaa bwana lakini ni sawa tu na wale wanaovaa suti au hawa wa combat wana ujuzi maalumu