Sare za Chama kwenye ziara za kiserikali

Wewe tajiri!? Unatumia Itel ndio ujione tajiri.
Ndio kweli CCM ni ya maskini ulikuwa hujui!?
Kutumia it hakuhusiani na utajiri nnachokihitaji mm ni mawasiliano na kufanikisha mipango yangu ya kuendesha maisha ,CCM wengi mmerogwa akili dats y mnakosa hadi nguo za kuvaa kazi kushindia mashati ya msaada ya chama
 
Sasa unalia lia nini hapa? Kwani wanakunyima nini wakikosa nguo. Huo ni ushamba peleka kwenye vyama vyenu vya wezi, wakepa kodi na wahujumu uchumi.
Mnawaibia wananchi halafu mnakuja kuwatusi.
CCM ni chama cha wanyonge na maskini. Nyie endeleeni na matajiri wenu.
 
Na wajinga aka makinikia.

Jesus For Life
 
Halafu utasikia mtu anabweka kwa jazba kwamba "maendeleo hayana chama! Wananchi hawali chama! uwe CHADEMA, CCM, CUF wote mnataka shule, afya, maji safi, n.k.". Kwa kifupi, ni kuwa hautakiwi upinzani makini bali upinzani "magirini" ili wenye nchi waendelee kubugia vyao bila bugudha wakishangiliwa na nchi nzima.
 
JF Kwenu,

Sijui ni nani wanamshauri Mh. Rais kuhusu namna ya kuongea mbele ya hadhira ya Watanzania anapofanya ziara. Labda hashauriki.
Rais amefanya ziara nyingi toka alipoanza kazi baada ya mapumziko. Alianzia Chato, mikoa ya kanda ya ziwa Morogoro na sasa yuko Tanga.

Ukifuatilia hata wanaohudhuria mikutano, wengine wakiwamo viongozi wa CCM, huona ni mikutano ya chama na kwa hiyo huvaa sare. Inawezekana kuna wengi wanaotaka kumsikiliza rais lakini wakiona wenzao wana sare hughairi. Inakuwaje rais anayedai ni rais wa wote amwite katibu mkuu wa CCM, aje kuzungumza jukwaani kwenye ziara ya kiserikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimpangie rais anapokuwa anawashukuru wananchi wake kwa kumpa kura kwa wingi!!!!
 
Una matatizo sio bure, hivi wale viongozi wa upinzani huwaoni au, wengine hupewa hadi nafasi ya kuongea . Vaa gwanda lako uende km utafukuzwa, yule ni raisi wa nchi mikutano ya chama ipo hai inaendelea.
 
Hatujapata rais bado mkuu, ndo maana maongezi yake ni kama anaomba kura

brain is the beautiful part of the body.
 
JF Kwenu,

Sijui ni nani wanamshauri Mh. Rais kuhusu namna ya kuongea mbele ya hadhira ya Watanzania anapofanya ziara. Labda hashauriki.
Rais amefanya ziara nyingi toka alipoanza kazi baada ya mapumziko. Alianzia Chato, mikoa ya kanda ya ziwa Morogoro na sasa yuko Tanga.

Ukifuatilia hata wanaohudhuria mikutano, wengine wakiwamo viongozi wa CCM, huona ni mikutano ya chama na kwa hiyo huvaa sare. Inawezekana kuna wengi wanaotaka kumsikiliza rais lakini wakiona wenzao wana sare hughairi. Inakuwaje rais anayedai ni rais wa wote amwite katibu mkuu wa CCM, aje kuzungumza jukwaani kwenye ziara ya kiserikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu CCM hawatakuelewa hata kidogo ni mazuzu haswa.
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza rais wangu wa serikali ya jamuhuri wa muugano wa Tanzania amekwenda wapi. sipati jibu. kwani kila mara ninamuona mwenyekiti wa chama cha mapinduzi na wafuasi wake! Kinachonisikitisha zaidi ni lile. kundi la washangiliaji linalosafiri na wenyekiti ambalo kwa bahati mbaya hushangilia bila mpangilio; wakati mwingine akianza sentesi nalo huanza kushangilia! Mwalimu Nyerere hakuwahi kuchanganya shughuri za chama na serikali wala kuwapandisha watumishi wa serikali kwenye majukwaa.
 
Ukifuatilia hata wanaohudhuria mikutano, wengine wakiwamo viongozi wa CCM, huona ni mikutano ya chama na kwa hiyo huvaa sare. Inawezekana kuna wengi wanaotaka kumsikiliza rais lakini wakiona wenzao wana sare hughairi. Inakuwaje rais anayedai ni rais wa wote amwite katibu mkuu wa CCM, aje kuzungumza jukwaani kwenye ziara ya kiserikali?
Kwani wewe wa chadema ulikatazwa kwenda na sare zako?mbona diwani yule kule handeni alikwenda na sare za chama chake na mkamtoa humu na pongezi na wala hakufukuzwa
Acheni infiriority complex ukisikia rais kaja vaa gwanda wahi kiti cha mbele,kulia lia hakusaidii mkuu
 
Back
Top Bottom