Kwani ina maana ukiwa Rais ndiyo unageuka kuwa Mungu?Sasa kuwa mpinzani ndio useme uongo!? Shindana kwa kuongea ukweli siyo kuongea uongo.
Katiba ya CCM haina unayoyasema. Shindana kwa sera siyo kuilisha maneno CCM.
Tangaza sera zako.
WanalazimishaHizi ndio ndoto za CCM, kila mtu ajiunge, je nani awe mpinzani wenu?
Naona povu sasa limeanza kukutoka. Hahahahaha, leta sera zako hapa watu wakiona zinafaa watakufuata. Siyo kuleta uongo uongo na kuanza kulia lia. Eti wana CCM wasivae nguo zao za kijani.Kwani ina maana ukiwa Rais ndiyo unageuka kuwa Mungu?
Maana mnavyomchukulia Rais ni kama hawezi kukosea kwa hiyo hastahili kabisa kukosolewa.
Matokeo yake mnajikuta mnacheza ngoma kama tule tu midoli twa mbao tunavyochezeshwa na kamba...
Hicho ndicho kiwango cha ujinga wenu.
Vaeni hata za rangi ya kuzimu, hainihusu.Naona povu sasa limeanza kukutoka. Hahahahaha, leta sera zako hapa watu wakiona zinafaa watakufuata. Siyo kuleta uongo uongo na kuanza kulia lia. Eti wana CCM wasivae nguo zao za kijani.
hii ni serikali ya CCM jitutumueni na nyie mchukue nchi. Siyo kuanza kutoa matus matusi na maneno ya uongo. Vyama vyenu havina sera mnalia lia kama watoto.
Naona sasa kupayuka payuka. Mimi ni mwana CCM, sasa jitu linakuja na kusema uongo juu ya CCM na wewe unashangilia sasa tukuineje?Vaeni hata za rangi ya kuzimu, hainihusu.
Binafsi sina sera za kuwaambia watu, na sera zenu nazisikiliza tu kama ninavyosikiliza maneno mengine. Zitakazoingia kichwani nitazibeba na kuzifanyia kazi, maana mimi si mwanasiasa per se, ila ni raia anayeishi kwenye mfumo unaoongozwa kisiasa.
Na za kijinga, kilaghai na kibaguzi nitazitupilia mbali.
Mimi nina mind huru yanye kutafakari, sihitaji kuaminishwa ujinga na mtu yeyote awe wa chama cha kijani, bluu au kahawia.
Kwa hiyo, usidhani unaweza kunilazimisha kuamini kile ambacho wewe na mwenyekiti wa chama chako mnasema ikiwa kitakuwa cha hovyo hovyo. Hali kadhalika, kile chama kingine na kingine pia...
Tatizo wewe umemezwa na itikadi ya chama chako kiasi kwamba ndicho kinachokusaidia kufikiri na kuamua.
Kumbe ndiyo maana tumeendelea kiwango hiki.Naona sasa kupayuka payuka. Mimi ni mwana CCM, sasa jitu linakuja na kusema uongo juu ya CCM na wewe unashangilia sasa tukuineje?
Ongelea sera zako, sio kuja na kuongea uongo.
Sisi kuvaa nguo za kijani inakuuma nini sasa!? Nyie fanyeni siasa sehemu mlizoshinda. Vaeni nguo zenu za pundamilia hakuna anayewakataza.
Hii ni serikali ya ccm. Subiri mtakapo shinda yenu mtavaa maguo yenu hayo ya kishamba.
Usijifiche kwenye Katiba ambazo zote; ya chama chako na ya jamhuri zinasiginwa lakini bado unakuja hapa kupiga makofi! Wakati mwingine ni sahihi watu wanapojenga hoja kuonyesha kuwa kuna kundi la watu wanajitoa akili kwa sababu tu ya kutetea mambo ambayo hayaitaji kutetewa. Ziara za Rais zinagharamiwa moja kwa moja na wananchi wote kupitia kodi wanazotoa, sasa sio jambo la kuunga mkono kwamba Rais atumie ziara zake za kiserikali kwenda kupokea walevi na wasio walevi wanaodaiwa kuhama kwenye vyama vingine vya siasa na kujiunga CCM. Halafu na mikutano hiyo itawaliwe na shamrashamra za CCM badala ya shamrashamra za serikali! Na mbaya zaidi haya yanafanyika huku vyama vingine vimepigwa stop kufanya siasa hadi mwaka 2019! Hizo unazoziita sera unataka wapinzani wakazitangazie wapi?Sasa kuwa mpinzani ndio useme uongo!? Shindana kwa kuongea ukweli siyo kuongea uongo.
Katiba ya CCM haina unayoyasema. Shindana kwa sera siyo kuilisha maneno CCM.
Tangaza sera zako.
Sasa shida yako ni nini!? Mbona unajichanganya ovyo ovyo tu. Unataka uwapangie nguo za kuvaa!?Kumbe ndiyo maana tumeendelea kiwango hiki.
Unavyojibu posts zangu, naanza kuwa na wasiwasi na kichwa chako. Wacha niishie hapa.Sasa shida yako ni nini!? Mbona unajichanganya ovyo ovyo tu. Unataka uwapangie nguo za kuvaa!?
Hivi kuvaa nguo za chama kwenye mikutano, na kuvaa nguo za chama msibani ni lipi bora?Hi guys..
Kuna mambo ya kinafki kwa viongozi wa serikali hasa wale wa juu sana...
Wanapotuambia wanafanya mikutano ya serikali na sio ya kichama, ninachojua mimi ni kwamba, Mkutano huo utahudhuriwa na wananchi wote bila kujali itakadi ya vyama vyao.
Sasa inakuaje kiongozi kama Rais, Waziri mkuu na wengine wanapofanya mikutano kama hii, hutawala jezi za Chama kimoja tu, hawaoni kama wanaleta manyanyaso na ubaguzi kwa vyama vingine kuwepo katika uwanja huo?
Jambo hili pia huchangia mfalme hujisikia kama vile anaongea na wanachama wa Chama kile pekee na kusahau wengine.
Wanachama hawa watashangilia kila baya na bovu atakaloongea mwenyekiti wao ili kukilinda Chama na kupalilia mbwembwe, misifa, kejeli na mipasho kwa vyama vingine.
Mikutano mingi inapewa jina la mikutano ya serikali huku agenda zinazoongelewa ni za kichama, na mkutano kiujumla ni wa kichama... Watu wanaona, na inaumiza sana, wao wanapovunja sheria zilizowekwa kinafki na wao wenyewe, Je huu sio uchwara?
Kama wanashindwa kusimamia kile walichokisema wao wenyewe, basi wawaache na wengine wafanye.
Ipigwe marufuku mikutano ya serikali kuvaa nguo za Chama,.. Zipo nguo za bendera ya Taifa, wavae hizo.
Umeandika maneno meengi ambayo ni rubbish yanafaa kutupwa kwenye dustbin.Usijifiche kwenye Katiba ambazo zote; ya chama chako na ya jamhuri zinasiginwa lakini bado unakuja hapa kupiga makofi! Wakati mwingine ni sahihi watu wanapojenga hoja kuonyesha kuwa kuna kundi la watu wanajitoa akili kwa sababu tu ya kutetea mambo ambayo hayaitaji kutetewa. Ziara za Rais zinagharamiwa moja kwa moja na wananchi wote kupitia kodi wanazotoa, sasa sio jambo la kuunga mkono kwamba Rais atumie ziara zake za kiserikali kwenda kupokea walevi na wasio walevi wanaodaiwa kuhama kwenye vyama vingine vya siasa na kujiunga CCM. Halafu na mikutano hiyo itawaliwe na shamrashamra za CCM badala ya shamrashamra za serikali! Na mbaya zaidi haya yanafanyika huku vyama vingine vimepigwa stop kufanya siasa hadi mwaka 2019! Hizo unazoziita sera unataka wapinzani wakazitangazie wapi?
Ungepunguza ushabiki kwenye suala hili kwa sababu hata huyo Rais mwenyewe amekuwa inafika mahali anaona aibu. Unapomsikia Rais akiwa jukwaani anaita kiongozi wa Chadema, Cuf au ACT eti kama yupo naye aje apokee wanachama wapya wanaotoka CCM kujiunga na vyama hivyo apite mbele, ujue ni kielelezo kwamba anaona aibu kwa matendo anayoyafanya! Na wewe jaribu kuona aibu!
Sawa kakaHii ni serikali ya CCM. Subirini na nyie mtawale mtakuwa mnavaa zenu zile za pundamilia.
Serikali ipo chini ya CCM yaani Serikali ya CCM.
Huna pointi brother!Umeandika maneno meengi ambayo ni rubbish yanafaa kutupwa kwenye dustbin.
Unadanganywa na wewe unaingia king. Hii ni serikali ya CCM okey.
Wewe tajiri!? Unatumia Itel ndio ujione tajiri.CCM wengi ni maskini wa kutupwa hawana nguo so hizo sare ndo pamba zao
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app