Sarawili ya kubana

Hicho kidume kimefungashia si mchezo
 
Sehemu ya mbele yale mafiringo hayajatutumuka....................?
 
Hiyo staili ya shati la jamaa mwanzoni wa miaka ya 70´s tulikuwa tunaita skin tight. Naona staili inaanza kurudi, tena kwa kasi. Bado sijaona raizoni na pekos (kwa wale waliokuwepo enzi hizooo)!
 
Reactions: awp
Hiyo staili ya shati la jamaa mwanzoni wa miaka ya 70´s tulikuwa tunaita skin tight. Naona staili inaanza kurudi, tena kwa kasi. Bado sijaona raizoni na pekos (kwa wale waliokuwepo enzi hizooo)!

Subiri tu Mkuu, hazina muda mrefu zitarudi.
 
Si ajabu ni mwanachuo huyo. Siku hizi vyuoni ni sehemu ya kuoneshea mitindo ya mavazi
 
Nadhani huwaga anapataga tatizo wakati wa kuvua hiyo jinzi, manake imebana sana. Sasa yote hayo ya nini?
 
ukivaa hivo sehemu nyingine watasema wee ni "mtoto wa watu"
 
Afsa wA sensa huyo kuna demu anamfukuzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…