A
Anonymous
Guest
Hili suala la sarafu kuadimika limekaaje? Niliona kwenye forum Moja ya Mwananchi wakiuliza kwa Afisa Sarafu B.O.T kuhusu kuadimika kwa sarafu hasa Tsh 100, Tsh 200 lakini alijibu kua hakuna shida hio na sarafu zipo.
Sasa swali ni kua nini kinaendelea kwa sababu mtaani hazionekani kweli na Kuna maeneo wanauza hizi sarafu kwa bei mbaya. Ukitoa elfu moja unapewa Tsh 600 ya sarafu za mia mia.
Kwanini kusiwe na uwazi juu ya hili ili hata watu wanaopanga bei wajue namna ya kuendana na hili. Maana watu tunaacha sana hizi chenchi lakini wao wanasema hakuna tatizo