M Mtanzania2020 JF-Expert Member Joined May 23, 2020 Posts 1,026 Reaction score 2,294 Dec 11, 2024 #1 Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Attachments Screenshot_20241211_145227_Google.jpg 53.4 KB · Views: 24
Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 40,461 Reaction score 69,278 Dec 11, 2024 #2 Mtanzania2020 said: Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Click to expand... Uongo. Ikiimarika itafika 1Dolar to 2000Tsh. Mama anaupiga mwingi
Mtanzania2020 said: Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Click to expand... Uongo. Ikiimarika itafika 1Dolar to 2000Tsh. Mama anaupiga mwingi
kwa-muda JF-Expert Member Joined Sep 5, 2018 Posts 2,101 Reaction score 5,440 Dec 11, 2024 #3 Mtanzania2020 said: Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Click to expand... Duh mbona kuporomoka huku kunataka kuniua kwa presha jamani.
Mtanzania2020 said: Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Click to expand... Duh mbona kuporomoka huku kunataka kuniua kwa presha jamani.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 158,508 Reaction score 776,381 Dec 11, 2024 #4 Kazi nzuri Watalaam wa uchumi waje watoe neno ili tujue vigezo alivyotumia Madelu na timu yake kupunguza gepu hilo
Kazi nzuri Watalaam wa uchumi waje watoe neno ili tujue vigezo alivyotumia Madelu na timu yake kupunguza gepu hilo
Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,524 Reaction score 9,588 Dec 11, 2024 #5 Ni bahati tu, hapo mwezi ujao inaporomoka kwa kasi hadi 3000
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,302 Dec 11, 2024 #6 Mtanzania2020 said: Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Click to expand... Hata black market mambo ni mazuri, imeahuka vizuri sana
Mtanzania2020 said: Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Click to expand... Hata black market mambo ni mazuri, imeahuka vizuri sana
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,755 Reaction score 50,830 Dec 11, 2024 #7 Mtanzania2020 said: Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Click to expand... Tupange maandamano kupongeza na kububujikwa na machozi
Mtanzania2020 said: Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Click to expand... Tupange maandamano kupongeza na kububujikwa na machozi
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,419 Reaction score 13,511 Dec 11, 2024 #8 Akichukua tu madaraka donard trump Dola itapanda Tena na kufika 4000.uchumi wa Tz ni goigoi
milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,286 Reaction score 8,426 Dec 11, 2024 #9 Mtanzania2020 said: Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Click to expand... Angalia pia shilling ya Kenya utuambie!
Mtanzania2020 said: Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH Click to expand... Angalia pia shilling ya Kenya utuambie!
ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,680 Reaction score 5,156 Dec 11, 2024 #10 Mtushukuru sisi wa Ntwara yale matokeo ya kotosho zetu tumewaletea dola nyingi, sasa hivi hakuna uhaba wa dola kwenye stock. Mtwara oyee!
Mtushukuru sisi wa Ntwara yale matokeo ya kotosho zetu tumewaletea dola nyingi, sasa hivi hakuna uhaba wa dola kwenye stock. Mtwara oyee!