Sarafu ya miaka 1000 iliyopita kutoka Tanzania yapatikana Australia

vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
6,311
10,352
Hakika hili limeshangaza wengi baada ya sarafu inayoamika kutoka Kilwa Tanzania miaka 1000 iliyopita kupatikana Australia, Hii inatuachia Swali moja kubwa kama miaka 1000 tulikua active kwenye biashara ni nini kilitukwamisha ? tutafakari………...

Medieval coin from Africa found in Australia

What is a medieval coin from Africa doing in northern Australia?

That's the question being asked after the discovery of a 1,000 year old coin, which could rewrite the history of Australia.

Scientists believe it to be a coin from Kilwa, more than 10,000km (6,000 miles) away in what is now known as Tanzania, dating from before the 15th century.

We spoke to the historian Mike Owen and first to the archaeologist, Mike Hermes

Source BBC Africa Live

1100053
 
Tusubiri tamko la mheshimiwa MB: Selemani Bungala
Almaarufu Bwege
 
Wamejuwaje kama imetokea uku?
Ni kama leo sarafu yetu ikutwe Kenya. Tanzania ina pesa yake na Kenya pia hivyo lazima ujue hii ni ya Kenya au Tanzania.

Tangu zamani kulikuwa hakuna mwingiliano wa sarafu, na tena ilikuwa ni mkoa huu una pesa yake na huu pia una pesa yake!! Ndio mana imekuwa rahisi kujua ilitoka Kilwa chini ya sultan
 
hivi miaka 1000 iliyopita cyo kwamba africa kulikua na bater system cjui ndo ina andikwa hvo but cyo kulkua na hcho kitu hzo sarafu znakujaje hapo!?
 
Sisi wakati huo tulikuwa nusu Wananyama na tulikuwa tunatumika kama wanyamakazi tuu (instrumentum semivocale) Acording to Fredrick Engles
 
Hapo kama sijakosea kusoma imendikwa Omar halafu..... mwenye nayo anaweza uza kwa pesa nyingi.
 
Sisi wakati huo tulikuwa nusu Wananyama na tulikuwa tunatumika kama wanyamakazi tuu (instrumentum semivocale) Acording to Fredrick Engles. Hivyo ugunduzi na biashara hizo zilikuwa zinafanywa na wageni sisi tulitumika kama punda wa kubeba mzizgotuu
 
Hata yule binadamu wa kwanza aliyegundulika Olduvai Gorge I guess alikuwa baba yetu ADAM
 
hivi miaka 1000 iliyopita cyo kwamba africa kulikua na bater system cjui ndo ina andikwa hvo but cyo kulkua na hcho kitu hzo sarafu znakujaje hapo!?
Soma historia vizuri! Kabla ya ukoloni hayo mambo unayozungumzia yalikuwepo ila ukiona sehemu sarafu imetajwa basi ujue mwafrica ulikuwa unauzwa na kutumikishwa na watu weupe!!
 
Back
Top Bottom