Sarafu ya kidigitali ya Bitcoin yaporomoka thamani kwa kasi

Jamani kwa mwenye kuelewa nijulisheni hii biashara nnahitji kujiunga namimi ila sijui inafanywaje.kwa anaejua
 
Acha ishuke ili tuinunue vizuri.

Watu wanatakiwa kujua zaidi kuhusu blockchain inavyofanya kazi,
 
Hivi mnafikiri Wamarekani wapo tayari kuona USD inakuwa daoninated na huu ujinga ujinga wa kimtandao?.Wewe fanya kama forex tu,nunua asubuhi uza jioni,usikae nayo sababu any year/month hii kitu wanaiua mazima trust me.
 
Forex ikoje mkuu
 
Wanaosababisha hizi sarafu zishuke sana thamani mara nyingi ni wawekezaji wachanga wakiona sarafu inatetereka kidogo tu wanahaha wanatoa ela yao hii inaifanya sarafu isizidi poromoka.
Nchi za Kislamu zimeanzisha projects za kutengeneza coins ambazo ziko backed na dhahabu na real dollars yani kiasi cha coin kilicho kwenye circulation inakuwa sawa na kiasi cha dhahabu au dollar iliyoko bank hii itasaidia sana kulinda sarafu
 
Hivi mnafikiri Wamarekani wapo tayari kuona USD inakuwa daoninated na huu ujinga ujinga wa kimtandao?.Wewe fanya kama forex tu,nunua asubuhi uza jioni,usikae nayo sababu any year/month hii kitu wanaiua mazima trust me.
We unahisi wataiuaje mkuu? How will they shut it down maana zinaibuka kibao kila mara na ziko decetralized
 
Trump na mabingwa wake wa uchumi wataifutilia mbali soon very soon inaenda kubaki historia.
Oya masela kama kuna siku nitaandika kitu kama hiki naomba mfuatilie ndugu zangu walipo nianze matibabu ya akili.
 
Kwa wajuzi wa hizi Cryptocurrency, habari zenu

Leo thamani ya Bitcoin ni 1 Bitcoin equals 8,146.97 United States Dollar

Nini kimefanya thamani Bitcoin kuanza kupanda tena?
Je hii inaweza kuwa thamani ya msimu tuu au ndiyo imeanza kufufuka tena?
Je zile changamoto za kisheria ambazo hata aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa IMF Christine Lagarde aliwahi kuzitaja zimeshashughulikiwa?

Nawakilisha.

Ahsante
 
The cost of 1 Bitcoin in United States Dollars today is $34,479.13 (according to the “Open Exchange Rates”), compared to yesterday, the exchange rate increased by 1.35% (by +$466.45).
 
Back
Top Bottom