Sarafu ya kidigitali ya Bitcoin yaporomoka thamani kwa kasi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Jana, Desemba 7 Bitcoin ilipungua thamani kwa zaidi ya asilimia 12 ikishuka chini ya USD 3,400 kwa Bitcoin 1 ikiwa ndio thamani yake ndogo zaidi kwa zaidi ya mwaka mmoja

Sarafu hiyo ya digitali maarufu zaidi duniani kwa sasa ina thamani ndogo mara sita kuliko ilivyokuwa Desemba mwaka 2017, ilipokuwa ikipatikana kwa USD 20,000 kwa Bitcoin 1

Sarafu hiyo hadi kufikia jana ilikuwa imeshuka thamani kwa takribani USD Bilioni 4.8 ndani ya saa 24 na imeshuka kwa zaidi ya USD Bilioni 14 ndani ya wiki

Hata hivyo, safaru nyingine za kidigitali nazo zilipata anguko ambapo XRP iliporomoka kwa asilimia 10 huku Ethereum ikiporomoka kwa asilimia 15
===

Bitcoin plunged more than 12 percent on Friday, falling below $3,400, its lowest point in over a year. The world’s most popular cryptocurrency is worth six times less than it was last December, when it traded at $20,000.

Bitcoin traded at around $3,389 as of 9:30am GMT on Friday, falling around 12.2 percent in one day, according to the CoinMarketCap website. The digital currency’s market capitalization has dropped by around $4.8 billion over a 24-hour period and is down more than $14 billion in a week. It comes less than a year after Bitcoin was trading at just under $20,000 with more than 330 billion market cap.

Other popular cryptocurrencies were not immune from the crypto market selloff, with XRP and Ethereum suffering more than 10 and 15 percent losses respectively.

The latest plunge comes less than a week after Bitcoin hit another low in more than a year, trading near $3,900 last Wednesday, shedding thousands of virtual coins since then.

The crypto market is suffering “general negative sentiment,” according to Zennon Kapron, director at financial technology consultancy Kapronasia, as cited by CNBC. The analyst warned that the downward trend may continue next year. Other gruesome predictions say that the driving force of the crypto market may crash to around $1,500, Bloomberg reported citing its analyst Mike McGlone.
 
Kutakuja cryptocurrency bubble kama ilivyokuwa kwa ile dotcom bubble ya miaka ya ile,mi nlishauzaga zangu mapema na ganji nshaitafuna kitambo sana.
 
Naiona dollar na gold zikiendelea
Hazina mpinzani. Jana uliletwa uzi humu mataifa nane (D8) ya kiislamu nayo yameamua kutumia udini kuunganisha nguvu kuachana na dollar. Vita ni kubwa sana kuliko tunavyodhania.
 
Kama utajaribu kununua bitcoin cash na bitcoin yenyewe lakini uwe unanunua ikishuka na unauza ikipanda. Kwa bitcoin hukosi $100 kwa siku na bitcoin cash hukosi $50 kwa siku. Wakati wa asubuhi mapema kila siku lazima ianguke na muda wa mchana hupanda pamoja na saa 4 usiku hupanda pia. Nunua na kuuza kwa sasahivi tu, usinunue kwa kuweka muda mrefu.
Hayo ni maoni yangu tu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom