SAP jobs

SAP jobs

Freema Agyeman

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
3,666
Reaction score
3,532
Kwa mwenye taarifa zaidi kuhusu kupata kazi za SAP naomba anijuze, natafuta kazi kwa udi na uvumbau
 
Mkuu kwa kukusaidia SAP tanzania bado ni ngeni kidogo na ni makampuni machache sana yenye kutumia application hii.Kwa mfano Coca cola, TCC, stanbic na barclays. Alaf wao wapo mbioni kuintroduce hii.

Kama kweli una utaalamu wa juu kwenye hili ningekushauri ufanye consulting.
 
mkuu SAP ni pana sana,sasa sema ni mambo gani unayajua zaidi,kwa sababu kuna FICO(financial and Contolling),SD (sales distribution),MM(materila Management),CRM,SCM,PP na modules nyingine nyingi sana.mimi kwa upande wangu nina ujuzi wa EPICOR,especially 9 katika Financial modules na Inventory modules,ila kwa sasa Epicor 9 ni mizinguo sana. so nasoma SAP.nimejaribu Kudownload demos Videos.sasa kama wewe uko vizuri kwenye SAP kati ya hizo Modules Kazi nyingi zipo Uarabuni,wakenya kibao wapo kule.kwa tanzania bado sana hii Software kutumika,ila ni the best software for the coming 50 years.kwa ushauri kwa hapa bongo cheki na hawa jamaa careers@bluekey.co.ke ,wapo pale makutano ya Serena hotels(formely Movenpic).pale wanapokata Ticket za Kenya airways. kuna jengo lina bango la Bluekey.all the best kaka.
 
[h=1]Kwa Dar unaweza wapata kama ifuatavyo
SAP Business One in Tanzania[/h]Bluekey Software Solutions is the leading SAP Business One partner in Africa and provider of SAP Business One and the SAP Business One Starter Package in Tanzania. We specialise in the implementation, support and development of SAP Business One and have a full service branch in Tanzania that can satisfy your unique business needs.Physical Address: International House, Third Floor, Cnr. Shabaan Robert/Garden Avenue, Dar es Salaam, Tanzania
Postal Address: Box 763, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 787 505 997
Email: sl@bluekey.co.ke
 
Hv ukitaka kuisoma wapi wana offer hii SAP na unaweza kusoma vitu vyake vyote yaani km account package na vitu vingine in basic ?
 
Back
Top Bottom