baba ndege
Member
- Dec 30, 2018
- 25
- 3
- Thread starter
- #21
sawa mkuu na ipo mjini kabisaExaclty
sawa mkuu na ipo mjini kabisaExaclty
Karibu na Barabarani kabsa...chukua urefu wa basi la dar express uunganishe na urefu wa coaster 1 na IST moja hlf hilo jibu ndy urefu wakesawa mkuu na ipo mjini kabisa
ahaaaaa huna hata picha zakeKaribu na Barabarani kabsa...chukua urefu wa basi la dar express uunganishe na urefu wa coaster 1 na IST moja hlf hilo jibu ndy urefu wake
Karibu na Barabarani kabsa...chukua urefu wa basi la dar express uunganishe na urefu wa coaster 1 na IST moja hlf hilo jibu ndy urefu wake
Hapana sina...kumeboreshwa saiv tofaut na nyuma kdgahaaaaa huna hata picha zake
Poa poa!!ila asante sana mkuu
Hapana sina...kumeboreshwa saiv tofaut na nyuma kdg
Yapahaaaaa
upo sanya au
Hapana..maeneo hayo hua nafika na iyo shule nimefika pia..kaz nazofanya zinanifikisha huko maeneoupo sanya au
ahaa basi ukifika tena huko mkuu utantumia picha zake ila samahani kwa usumbufu mkuuHapana..maeneo hayo hua nafika na iyo shule nimefika pia..kaz nazofanya zinanifikisha huko maeneo
Usijali..ratiba ikiruhusu ntakutumiaahaa basi ukifika tena huko mkuu utantumia picha zake ila samahani kwa usumbufu mkuu
Usijali..ratiba ikiruhusu ntakutumia
Pouwa..karibusawa asante sana mkuu
Pouwa..karibu
Sawa..nitaziweka hapa..na unaweza jionea kama uki-google kama watakua wame-update za pics..sawa ukipata muda utantumiag basi