sanya juu high school

sanya juu high school

baba ndege

Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
25
Reaction score
3
wakuu nilikuwa naomba kwa anayeijua shule ya sanya juu aniambie ni shule ya aina gani? na ipo je
 
Mkuu ipo wilaya Siha..ni kilomita chache tokea wilaya ya Hai...kutokea wilaya ya Hai hadi hapo ni 1000 tuu na shule ipo karibu na barabara..ufaulu wake saiv umepanda kulinganisha na miaka ya nyuma
 
na je mazingira yake mkuu
Mkuu ipo wilaya Siha..ni kilomita chache tokea wilaya ya Hai...kutokea wilaya ya Hai hadi hapo ni 1000 tuu na shule ipo karibu na barabara..ufaulu wake saiv umepanda kulinganisha na miaka ya nyuma
 
yani nilikuwa namaanisha hao advance na o level wapo eneo moja au wametenganixhwa na uzio labda
Kama sjakuelewa!! Hao advance ni boarding na O-level ni day!! Advance wana bweni zao na zipo categorized kimadarasa!!
 
Back
Top Bottom