Sanukia Somo: Kubali matokeo

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini bandugu

Natumai mko fiti na mnaendelea kuwajibika, kulala, kusoma na mambo mengineyo

Waswahili wansema kuwa: "Kubali matokeo hata yaje kwa njia chanya au hasi

Marafiiki mtaniuliza sana leo kwanini nimeamua kuandika somo hili, kitu gani kimenisukuma
kukuweka mada hii hapa nikutokana namaisha ya wanadamu wanayoyapitia iwe ni njaa,
malazi, afya njema au kuwa katika hali mbaya wewe kubali matokeo hayo kwani ni njia ya
maisha unayopitia na hususani umeumbwa ili ukubali upitie njia hzo hakuna mwanadamu
ambaye hajawahi kupitia katika hali hizo awe, mkubwa au mdogo lazima kuna wakati alishapitia.

USIKATE TAMAA RAFIKI

Rafiki yawezekana umepita katika hali ngumu ya maisha, kiasi kwamba umetamani
usingekuwepo au upotee urudi mambo yakiwa safi, wakati mwingine umejuta na kusema
laiti kama nisingezaliwa labda kwa vile huna wazazi au umeumizwa na mpendwa wako
au umewapoteza watu uliokuwa ukiwategemea na mara zote unadhani hakuna anayekupenda
wala kukujali. Utakapowaza haya hakika hutakuwa na furaha, Unajaribu kutafuta furaha
sehemu nyingi lakini bado mawazo yanarudi palepale.

Napenda kukuhakikishia rafiki yangu kuwa yuko Mungu asiyeshindwa kwani yeye hujishughulisha
sana na mambo yetu hebu soma 1Petro 5:7 -8 KWANI FURAHA YA KWELI IKO KWAKE NA
RAFIKI WA KWELI NI MUNGU PEKEE hivyo rafiki mshirikishe Mungu kwa mambo yote.

KUBALI MATOKEO YOTE YA MAISHA UNAYOPITIA KWANI NJIA YA KUVUKA DARAJA JIPYA

Nawatakia WEEKEND njema yenye furaha, upendo, na amani yote udumuyo.


Wasalaamu;

Ladyf a.k.a Mwalimu wa wanawake, komandoo wa vita
 
Asante kwa somo murua. Wengi huwa tunaishia kukata tamaa bcoz we expect too much. Yan mtu ukishakuwa na tumaini la kupata kitu unasahau kwamba kuna kusindwa pia....siku zote tunategemea ushindi tu na ikitokea ushindi ukakosekana tunavurugwa haswaaa. Lakini kama mtu umeweka akilini mwako kwamba katika maisha kuna kupata na kukosa huwezi kukata tamaa....ukianguka unanyanyuka,unakung'uta vumbi then unasonga mbele maana unajua kuwa hiyo ni sehemu ya safari yako. Mungu awape moyo mkuu marafiki mnaopitia magumu kwa wakati huu.
 

my baby is very wise
 

Ladyfurahia kuna mtu nitamtambulisha kwako uwe mwalimu wake wa kiroho
 
Nimekubali matokeo...

Ndo nimeachika....no more tears.....!
 
Ntakuliwaza tu jamani,ntakupetipeti,ntakupa mahaba ya kihindi plus kiphilipino na ukweli wa wazunguu,njoo jiwekeeeee
 
Ntakuliwaza tu jamani,ntakupetipeti,ntakupa mahaba ya kihindi plus kiphilipino na ukweli wa wazunguu,njoo jiwekeeeee

Aaaa wapi....Moyo wangu nishampa kauweka kwenye kabati kaufungia....

Lije jua...ije mvua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…