T tekman Member Joined Aug 13, 2026 Posts 15 Reaction score 53 Oct 8, 2026 #1 Ebana iko hivi hizi gari zinazouzwa bongo na kilomita 56,000 ni unapigwa. Ukitafuta Japan au UK nyingi utapata zina 150,000, 230,000 hadi 300,000 kilomita. So hizi za bongo kama huwezi ku verify mileage kaa nazo mbali
Ebana iko hivi hizi gari zinazouzwa bongo na kilomita 56,000 ni unapigwa. Ukitafuta Japan au UK nyingi utapata zina 150,000, 230,000 hadi 300,000 kilomita. So hizi za bongo kama huwezi ku verify mileage kaa nazo mbali
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,050 Reaction score 102,475 Oct 8, 2026 #2 Grand Turismo hadimu sana.