Sandisk memory card kuanzia 16gb to 128GB

Sandisk memory card kuanzia 16gb to 128GB

kwa wakazi wa DAR..delivery ni 2000 tu
 
Hizo bei ni za mteja anaechukua chini ya PC 10,ukichukua memory kuanzia 10 kwenda mbele BEI inapungua.
kila size uchukue pc 3 kwenda mbele...Bei inashuka.
MEMORY NI ORIGINAL
Kwahiyo hizo bei za hapo juu ni kwa mojamoja yani rejareja?
 
Hizo ni fake
Original hizo sio bei zake
 
Hizo ni fake
Original hizo sio bei zake
Karibu mkuu..mteja kama wewe nakutaka sana.

Nunua memory 1 tu,ukikuta fake nakutumia PM picha zangu details zangu zote unitangaze mimi ni TAPELI.

tunapokabidhiana tupige picha then ukikuta ni FAKE nakuruhusu rudi hapa TANGAZA kwa watu kua mimi ni TAPELI.nipo tayari.
 
Speed yake ngapi ili ninunue?
Speed yake ukikuta chini ya hiyo nlokuandikia hapo Usinilipe hela yako mkuuu,this thing is REAL nina maana yangu kuuza hiii bei si kwamba ni fake...ukikuta ni chini ya 80MB/s USINILIPE.
 
Speed yake ngapi ili ninunue?
Sandisk-Class10-32gb-Micro-SD-card-TF-card-Ultra-80Mb-s-128gb-16gb-32gb-64gb-Original.jpg
 
kuna mtu yuko lindi unaweza kumtumia kwa njia ipi hiyo memory ya 16 gb
 
Back
Top Bottom