Sanamu za Rais Museveni zatumika kufanya kampeni maeneo asiyokuwepo kuelekea uchaguzi wa 2026

Sanamu za Rais Museveni zatumika kufanya kampeni maeneo asiyokuwepo kuelekea uchaguzi wa 2026

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Ugandan President Yoweri Museveni statues are seen campaigning on his behalf ahead of the upcoming 2026 elections.

Pia soma > Rais Museveni aidhinishwa na Chama chake (NRM) kuwa Mgombea Urais 2026


Museveni.jpg
 
Kwani hiyo nchi hakuna mtu mwingine anaweza kuiongoza yaan huyo mzee amewafanya wagando kama ma ng, ombe poriii
 
Mzee kama ni mgonjwa si umma wa uganda na dunia ijulishwe tu kuwa mzee safari ya kuaga duni imewadia?
 
Nimeandika na kufuta ! ANYWAY.....
tz na Uganda ni kama maiti
 
Waganda kwasasa ni mizoga bora watz wameanza kufufuka.
 
Hapo ningekuwa mlipa Kodi ningeulizia tu kuhusu cost na nani analipa (as in matumizi mabaya ya fedha) ila kama ni affordable ni kazi nzuri / original / creative - ndio maana hata wewe umechukua na kuileta huku kumfanyia kampeni.... (Clip going Viral) - kwahio kama kuna cha kumuangusha sio hii ya mwanasesere
 
Mara zote nikifika Mutukula uwa nashindwa kusema kwaheri ikiwa naelekea bukoba mjini endapo natoka Uganda maana nahisi Kama nako ni Tanzania na ni nyumbani .
Mwakola burunji banywani
 
Back
Top Bottom