Sanaa ya uchoraji sio mchezo

mchore mzee wa mia tisa itapendeza
 
Uchoraji ni kipaji..na wote wenye uwezo wa kuchora wanakua na akili. Unajua kuweka wazo kutoka kichwani kulihamishia kwenye picha sio kitu kidogo.
 
Mtoto wa profesa mdee uyu tulikua wote tulicheza wote pale ubungo
 
Namjua namjua sana kuliko hata mnavyomjua
 



Nikazi mojawapo ngumu ila raha kuifanyaaa, mnatoa max ngap kwenye hii picha

mleta mada tunaomba kujua dhumuni la uzi wako pia kujua nani kaichora picha iyo na alie chorwa ni nani? ivo basi picha hii inatokana na photo shiner-
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…