Sanaa na wasanii

Sanaa na wasanii

Richard mtao

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
270
Reaction score
377
Msanii mzuri utamjua katika kuandika nyimbo zenye maadili na zinazokubalika tu.

Hawa sijui amelowa, mara imwagie ndani hawana lolote there are there only to make money infact sio wasanii wazuri na ndo maana kazi zao za sanaa hazidumi ukilinganisha na zile za Ferooz, au prof J au Ngwair(mitungi na mikasi)
 
Kuna kitu kizuri ulitaka kukiandika lakini umeshindwa.. Mpaka wimbo uende hewani kuna wengi wanahusika ndani yake
Mtunzi/mtungaji
Mpangaji/msahihishaji wa mashairi
Mpangaji wa midundo na sauti
Mzalishaji

Si kila msanii mashairi katunga yeye.
 
Ahsante kwa kunisahihisha boss
 
Back
Top Bottom