kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,307
- 17,579
Kila msanii anaimba na anaigiza kuhusu utamu wa mapenzi. DVDs, TVs, Radio na magazeti vinapeperusha ujumbe kuhusu uzuri wa mapenzi. Kila msanii "mapenzi rahaa, mapenzi matamuuu, mapenzi burudaniii, mapenzi...... Hii inasababisha watoto wetu watamani kutaka kuonja ili kujionea wenyewe kile wasanii wanachoimba na kuigiza juu ya uzuri wa mapenzi.
Baada ya kuonja weeeee looooo iiiiiiii daaaa! kuuumbe hawadanganyii bhaaana!!! wananogewa na kupata pia humohumo chembechembe nyingine za raha kama vile vijilift, chips/mayai, simu, air-time. Mwishowe MIMBAAAAA HiyOOOO na shule kwaheriiiii ya kuonanaaaa.
Tuwasaidiaje watoto wetu na vishawishi hivi vya nyimbo na filamu za wasanii kuhusu ngono?