Samweli Sitta ni Mgonjwa

Status
Not open for further replies.

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,316
Reaction score
23,178
Wakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.

.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili



My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa

=======

 
Wakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa. Mke wake adai anaendelea vizuri
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili

Nampa pole sana mzee wa kasi na kwa kiwango,kwa nafasi yake aliwahamasisha hata vijana kufatilie mijadala ya bunge maana lilikuwa linaonekana ni kwa ajili ya wazee tu.
 
Pole Mzee Sita! Utu uzima nao umefika! Umekula kula imetosha
 

Wacha augue tu si alimsababishia mwenzake ugonjwa kwa fitna za kisiasa sasa mwenzake anadunda yeye kalala ndani tangu akose hata tano bora
 
Jamani humu ndani jf hukuna huruma, Mzee anaumwa yapaswa kumfariji kwani kaleta mapinduzi kwny bunge letu.Mungu ampe maisha marefu.
Mapinduzi bungeni wewe ulifaidikaje,akamuombe msamaha edo pam
 
Kati ya watu ambao endapo hata wakiumwa vipi nitafurahi tu ni huyu

Huyu ni adui namba moja wa taifa letu

Aliongoza genge la majambazi wa nchi hii kuikataa katiba inayotokana na wananchi

Siku akifa wala sitalia....ikiwezekana nitamtupa ziwani awe chakula cha mamba
 
Jamani humu ndani jf hukuna huruma, Mzee anaumwa yapaswa kumfariji kwani kaleta mapinduzi kwny bunge letu.Mungu ampe maisha marefu.
Huruma ya nini? Unajua huyu mzee ameathiri vizazi vingapi kwa kuichakachua rasimu ya katiba ya warioba. Mwache avune maovu aliyoyasimamia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…