Ujinga ni kipaji. Kwa taarifa tu. Ukumbi mpya wa bunge ulijengwa enzi za Msekwa, ulijengwa na serikali kwa mkopo wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Hawakutoa fedha, bali walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa wakandarasi. Hata kama kuna ufisadi, kwa vyovyote vile Sitta hakuhusika wala kashillila, maana katibu wakati huo alikuwa Damian Foka. Madudu haya ya kijinga huibuka siku Lowassa akiguswa kwa ufisadi wake.Je tunawezaje kuwatoa kwenye sakata la ujenzi wa chini ya kiwango wa ukumbi wa bunge jipya ? bunge lililojengwa kwa mabilioni sasa linavuja na ukaguzi umeonyesha uhajajengwa kwa kiwango stahiki na hakuna mitambo ya usalama iliyofungwa mle ndani na pili wamepoteza nyaraka za jengo hili ya michoro na BOQ zake.je samweli sitta na katibu wa bunge bwana kashilila hawakuhusika katika ufisadi huu?au ni njama za Anna makinda na kundi lake kumchafua sitta ?
mjumbe punguza jazba kwani kama yeye si aliyeanzisha ujenzi huu ok, lakini wakati wa makabidhiano ya jengo si angefuatilia kama ujenzi umefanyika kwa kiwango husika una maana kama rais kikwete kasaini mkataba 2014 na 2015 rais mwingine kaingia hatowajibika kuona mkataba umefuatwa au sitta kwanini hakuchunguza viwango vya bunge na kama mitambo ya usalama imefungwa na ata mic zimefungwa za mchinaSita kapata ubunge wakati jengo lishajengwa.....hahusiki na hiyo kashfa unless una njama zingne...hukumbuki jengo limeanza kutumika lini mpaka unatoa thread ambayo haina mashiko?Hiyo ni issue ya makamu mwenyekiti ccm Pius Msekwa.
kwa mantiki hiyo sitta bado hausiki labda anne makinda spika wa sasa.isitoshe yeye alikuwa naibu spikamjumbe punguza jazba kwani kama yeye si aliyeanzisha ujenzi huu ok, lakini wakati wa makabidhiano ya jengo si angefuatilia kama ujenzi umefanyika kwa kiwango husika una maana kama rais kikwete kasaini mkataba 2014 na 2015 rais mwingine kaingia hatowajibika kuona mkataba umefuatwa au sitta kwanini hakuchunguza viwango vya bunge na kama mitambo ya usalama imefungwa na ata mic zimefungwa za mchina
jengo jipya limefanya makabidhiano chini ya spika sitta kwa hiyo mnataka kusema kwanini tunamsakama kikwete kwa mikataba ambayp ameingia mkapa ....je kwa upande wa sitta yeye mbona mnasema hausiki na kama hausiki ni nini alifanya ili sisi watanzania tumuone kuwa anapambana na ufisadi, mbona wa bunge yeye akutaka kusema ata kidogo. ni mara ngapi ata spika zinagoma kuongea bungeni hakuhoji. ni mara ngapi anakona wakati wa mvua linavuja hasemi. napenda kujua yeye amehusikaje kwenye sakata hiliJengo jipya la bunge lilijengwa na kuanza kutumika wakati wa awamu ya tatu (Rais Mkapa, Waziri Mkuu Sumaye, Spika Msekwa)
Je tunawezaje kuwatoa kwenye sakata la ujenzi wa chini ya kiwango wa ukumbi wa bunge jipya ? bunge lililojengwa kwa mabilioni sasa linavuja na ukaguzi umeonyesha uhajajengwa kwa kiwango stahiki na hakuna mitambo ya usalama iliyofungwa mle ndani na pili wamepoteza nyaraka za jengo hili ya michoro na BOQ zake.
je samweli sitta na katibu wa bunge bwana kashilila hawakuhusika katika ufisadi huu?
au ni njama za Anna makinda na kundi lake kumchafua sitta ?