Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
Mnashangaa nn kwani yule babu asiye na dini anatafuta nini kwenye hlo bunge?? si ndo kazi yake hyo au hamjui? tumuombee tu presha ishuke maana yawezekana shetani anafanya kampeni.
 
Sita wasimguse ndo waziri mkuu mtarajiwa wa serikali ya tanganyika
 
Jambo hili lilibandikwa hapa jana na member mmoja aitwaye 'ba nso' mida ya saa 4:11 usiku kuhusu kuugua kwa mmoja wa wagombea...nai paste hiyo habari hapa ...

"salaam wanajamvi,
ninatabiri ugonjwa kwa mmoja wa wagombea
cheo cha mwenyekiti anayetazamwa na wengi
kua mshindi adi kusababisha uchaguz
kuahirishwa ama kuendelea bila uwepo wake.
Tumuombee tafafhali"

unganisheni doti kama habari hii ni kweli!
 
Kuna habari kwamba mzee samuel sitta kaugua ghafla na kulazwa hospitalini dodoma. Wajumbe wanasema watampigia kura hata akiwa na drip wodini.
tuambie chanzo cha habari hii na pia tuwekee picha, usije ukawa unamuwangia mabaya mzee wa watu.
 
Huyo BANSO kama sio mjukuu wa Mzee asiye na dini basi atakuwa ndiye anatumia ipad ya huyo gwagula kwani hiyo ipad hutumiwa kuroga watu kidigital.
 
Pole zake na augue pole.., ila hii isije ikawa ni publicity stunt.., sababu hawa politicians anything is possible

Isije kuwa ni ile polonium ya mwakyembe inabadilishaga sitta atakuwa bonge la mzungu
 
Kipapai ndani ya bunge la katiba mpya....tutegemee waathirika wengi ktk mchakato huo.
 
CCM wote wanafiki tu',mradi wasije mpigia mtu ambae ameshakuwa sehemu nyingine zaidi ya duniani tu,
maana ccm wanaweza'
 
kuna uzi ulianzishwa hapa kwamba mgombea MMOJA wa nafasi ya uenyekiti ataumwa ghafla.....sasa yule alieanzisha aje hapa atueleze huo ulikua utabiri au kuna kitu kingine ndani yake



labda walikua wakimsema Sitta kwa Kinyume. je Nani anahusika hapa?
 
tuambie chanzo cha habari hii na pia tuwekee picha, usije ukawa unamuwangia mabaya mzee wa watu.
kuna siku utaambiwa mkeo / mumeo kakutwa chumbani gesti na jamaa /demu akivunja amri ya sita, wewe utaomba picha kwanza ili kujiridhisha kabla ya kuchukua action.
 
KWANI YEYE ni MALAIKA ASIUGUE? this is not a news hata kidogo after all sio mgombea pekee, habari za kidaku hizi
 

I see hii kazi nzito
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…