Mama Regina Lowassa akiwa na wanawake kwa wanaume walio hudhuria mkutano wake ulio lenga kuwasikiliza wanawake wa Rudughai (tambalale) Masama....
Mama Lowassa kasema wakati wa mabadiliko ni sasa... Hakuna wakati zaidi ya leo...!
Mytake: This is what we call "door to door"
CC... Bukanga
Mkuu wewe akili yako kama ya nyumbu tu ulichoandika ndiyo nini wa kiazi kweli.Mkutano wa CCM unaendelea na kwa kauli aliyotoa Sitta muda huu kuhusu mradi wa Maji toka Ziwa Victoria kwenda Mkoani Shinyanga ambao kila mmoja anajua Mh. Lowasa ndio aliusimamia vema mpaka ukakamilika pamoja na vitisho vya Misri.
Bila aibu Sitta anasema mradi huo ulibuniwa kabla ya Uhuru 1956 na mwaka 1996 kwa ushirikiano na Uholanzi walitaka kutekeleza mradi huu tatizo like wa ni pesa ndipo Mkapa akaamrisha zitumike pesa za ndani.
Je kwa maneno ta Sitta issue ya Richmond ilikuaje inafanyika pasipo uhusika wa Rais?
Au mazuri yanayofanywa na Waziri sifa ni kwa Rais ila kashfa itakayofanyika mzigo ni kwa Waziri?
Mkuu wewe akili yako kama ya nyumbu tu ulichoandika ndiyo nini wa kiazi kweli.
Mkuu wewe akili yako kama ya nyumbu tu ulichoandika ndiyo nini wa kiazi kweli.
Nadhani uko kwenye kampeni za Magufuli au unafatilia kupitia TV Mgombea wako amethibitisha tena saiv kwani amenukuu kauli za Sitta kua ukiona Kiongozi anajisifia amefanya hivi huyo ni mbinafsi na akaendelea zaidi kwa kusema hakuna kitu anachofanya Waziri bila baraka za Kiongozi wake ambaye ni Rais na wanaongea yote hayo ili kuwaaminisha Watanzania kua Lowasa hakupeleka maji Shinyanga.
Swali langu kwenu kama hakuna kinachofanywa na Mawaziri bila usimamizi au ushiriki wa aliyewateua vipi Swala la Richmond liwe ni la Lowassa pekee?
Mkutano wa CCM unaendelea na kwa kauli aliyotoa Sitta muda huu kuhusu mradi wa Maji toka Ziwa Victoria kwenda Mkoani Shinyanga ambao kila mmoja anajua Mh. Lowasa ndio aliusimamia vema mpaka ukakamilika pamoja na vitisho vya Misri.
Bila aibu Sitta anasema mradi huo ulibuniwa kabla ya Uhuru 1956 na mwaka 1996 kwa ushirikiano na Uholanzi walitaka kutekeleza mradi huu tatizo like wa ni pesa ndipo Mkapa akaamrisha zitumike pesa za ndani.
Je kwa maneno ta Sitta issue ya Richmond ilikuaje inafanyika pasipo uhusika wa Rais?
Au mazuri yanayofanywa na Waziri sifa ni kwa Rais ila kashfa itakayofanyika mzigo ni kwa Waziri?
Dah.....unaakili nying sana za kufafanua mambo. Ngoja washtuke na hiloMkutano wa CCM unaendelea na kwa kauli aliyotoa Sitta muda huu kuhusu mradi wa Maji toka Ziwa Victoria kwenda Mkoani Shinyanga ambao kila mmoja anajua Mh. Lowasa ndio aliusimamia vema mpaka ukakamilika pamoja na vitisho vya Misri.
Bila aibu Sitta anasema mradi huo ulibuniwa kabla ya Uhuru 1956 na mwaka 1996 kwa ushirikiano na Uholanzi walitaka kutekeleza mradi huu tatizo like wa ni pesa ndipo Mkapa akaamrisha zitumike pesa za ndani.
Je kwa maneno ta Sitta issue ya Richmond ilikuaje inafanyika pasipo uhusika wa Rais?
Au mazuri yanayofanywa na Waziri sifa ni kwa Rais ila kashfa itakayofanyika mzigo ni kwa Waziri?
Mradi wa Richmond msimamizi wake na mtengenezaji ni Lowasa na ndio sababu hata kamati teule ya Mwakyembe walithibitisha hivo bungeni. Lowasa akashindwa kujibu hoja.
Toa pumba zako hapa, kachukue malipo yako
Mkuu wewe akili yako kama ya nyumbu tu ulichoandika ndiyo nini wa kiazi kweli.
Punguza kuliwa 0714 yako akili yako inazidi kupoteaaa kiazi weeeToa pumba zako hapa, kachukue malipo yako
Pumb@vvMkuu wewe akili yako kama ya nyumbu tu ulichoandika ndiyo nini wa kiazi kweli.