NEVIOT, kama ni kweli umesoma sheria kama unavyodai hungeandika point ya kipuuzi kama ulivyoandika katika jibu lako la awali, eti;
My God, are you serious? Unaelewa jukumu la bunge la Katiba? Hizo ratiba zingine anazoweza kuwa nazo Raisi zikawa na umuhimu kupita kuzindua Bunge la Katiba ni zipi? Kwa mtu anayedai eti kasomea sheria, this logic is more than ridiculous...it is stupid. Je ilitokea ghafla tu akatakiwa kuzindua hilo Bunge au ni jambo limepangwa kwa muda mrefu, hii hasa ndio thinking ya usanii/uswahili uliotufikisha Watanzania hapa tulipo, it is pitiful...na nakuapia kitu kama hiki kinaweza kutokea tu katika nchi yenye watu kama
NEVIOT, anayesemekana kusomea sheria chuo kikuu cha HUMBOLDT Ujerumani. Samahani mods kwa lugha kali lakini ni vigumu kwangu kuuita ujinga werevu.