Samweli Chamulomo augua Bungeni ghafla na kufariki

Mbona mie sijaona?au star tv wameruka hicho kipengele?nipo luningani kunako saa 3, kwaheri mtangazaji na pole kwa famil
 
Poleni sana wana familia Mungu amlaze mahali pema.Pia Mungu ipe Serekali roho ya huruma iweze kuendeleza pale alipoachia kwa manufaa ya familia yake.
 
Mbona mie sijaona?au star tv wameruka hicho kipengele?

Kwa mujibu wa mh. Spika Anna Makinda, Marehemu Chamulomo aliugua ghafla wakati akiwa kazini bungeni jana jioni na alikimbizwa zahanati ya bunge ambapo saa 23:00 za usiku aliaga dunia. wabuge walisimama kwa dk 1kumkumbuka marehemu S. Chamulomo
 
Picha yake tafadhal kwa sie tusiomfahamu
 
Poleni sana wafiwa wote wekeni hata picha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…