Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM

Maganba style hiyo ni wale wale Mwenye suti safi nguo ya ndani chafu! utamwombaje mtu alitia muhuri wa mwisho kugombea asafishe chama wakati yeye ni sehemu ya uchafu huo!!! Bangi mbichi hii!
 
Oyaa Jim mie nateremka zangu Rottedam za baridii leo timu nzima hipo pale! pakiwa nyomi tutajiongeza kwa nyuma hapa fanya fasta kesho kazi si unajua jamaa watatumind kama samson
 
hapa ndo Watanzania hua tunakosea yaani watu kuwa honesty ni ngumu huyu Sitta mara nyingine utasikia anapambana na ufisadi atasema hiki mara kile siku ingine utasikia vinginevyo hapa nakubaliana na usemi kuwa ni mnafiki....ata hivyo watanzania tuache maneno sasa tutekeleze kwa vitendo CDM inafanya vema lakini wanatakiwa waweke mpango mkakati na kutueleza wananchi hapo ntaunga mkonio mia kwa mia mfano waseme Magamba yakichelewesha majibu kama kipindi kile au mazingira ya utatanishi basi hakieleweki hapo tutaenda sawa.....Hongera Joshua!
 
Huenda comrade ameshindwa juu ya lile linalo daiwa na wadau kuwa sioi na babamkwe wa mh. Lowasa
 
sita amekua na misimamo sana na yuko consistent sasa sijui huo unafiki nyie mnauona wapi

kama tumbo lake na madaraka aliyonayo ndani ya ccm sasa visingekuwa muhimu zaidi ya maslahi ya umma angehama chama na kujiunga na upinzani kwa ama kujiunga na chama kimojawapo ama kuanzisha chama chake.
Anataka huku na huku, hana ishu na hafai kabisa!
Ahame ccm,
Rais wa malawi aliachana na chama chake na bado akaendelea luwa rais na chama chake kipya!

Ukishakuwa mchumia tumbo na mbinafsi hata kama ni msomi wa kupitiliza unakuwa useless.
6 is useless in that perspective.
 
Anamuomba mwenyekiti gani? jk aliyempitisha sio, sita aache unafiki, yyupo ccm kimaslahi zaidi na sio kutete wanyonge
 
tunapiga maki-time mungu akipenda 2015 tutachinja vibaya sana na tume yao ya uchaguzi,polisi,jeshi na takataka zote wakishindwa kuchakachua.........ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Nimeshangazwa sana kusikia Mh. S. SItta
akisema Sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.

Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa HAbari

images



Mytake:

Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza

Huyu nae anazeeka vibaya; yeye alitumwa kwenda kufanya kampeni Kirumba na kule nako CCM imeshindwa! Je na huyo mgombea udiwani wa ccm aliyeshindwa nae hakuwa chaguo la ccm? Lowassa and Sitta are sailing in the same boat; they are both losers!!
 
sitta, ooh sitta, who bewitched you? unafiki na uzandiki vitakupeleka pabaya, magogoni hapahitaji somebody like you, staafu ukapumzikie mbali.......
 
Nimeshangazwa sana kusikia Mh. S. SItta
akisema Sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.

Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa HAbari

images



Mytake:

Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza

kauli hii angeitoa kabla na kwenye vikao vya CCM
 
Mijitu mingine ni masifa tu ya kutaka urais alikuwa wapi siku zote kusema kabla hajashindwa.katiba mpya ije na kifungu cha kuwa hukumu wanafiki kama hawa
 
Hatutaki rais babu. Sitta ni msaliti na mnafiki. Aache kuwaza urais hana jipya ndani ya CCM.
 
6 umepoteza mvuto kaa kimya kama c chaguo la Arumeru basi ni chaguo lenu mafisadi its good mmeumbuka
 
Back
Top Bottom