Samwel Sitta na Azan Zungu kuvaana uspika wa Bunge

Ukawa bora mchague makinda:::samweli sita hana cha kubembeleza eti,"mwanangu mkosamali,mnyika kaeni basi wanangu"

sita anakufukuza bungeni

Acha kufunua utupu wako,kwani UKAWA wanachagua mgombea wa spika kupitia CCM?
 
Lowassa anafaa kidogo apoze machungu wa kukatwa katwa kila anapojaribu
 
Nitashanagaa sana CCM wakimrudisha Sitta wajue kuwa upinzani una wabunge 100 hivo ccm wakigawanyika kidogo inweza kula kwao
Zungu na Simbachawene ni wazuri kiasi ukiwalinganisha na wengine ndani ya CCM
 
Back
Top Bottom