Samwel Sitta aanikwa uovu wake

CCM wajanja, katiba mpya lilikuwa tego la kumuondoa six kwenye ligi, nae kwa ushamba akalivaa
 
Mkeo kakupa umbea mwAnaume mzima umepanic,unatutia aibu wenzio kwa kulalama make mie mwenyewe miaka 40 sina ila ninaweza nikajenga idadi hiyo ya nyumba na wala isiwe kesi,kwani hao wengine wanazo ngapingapi kila mmoja?
Sitta hana jipya rais wetu ni.lowasa

Julius Malema Jr
say no to exnophobia all Africans we r one
 
Teh!

Sitta anaubora wake. Ila, ktk suala la Urais namuomba atulie tu(kama kweli humsingizii)
 
Kwann unaanza na mzee mafisaidi hawastahili heshima kiivo? Anza na ww fisadi samwel sitta ..........
 
anauza mke wake kijanja janja, kama sio kweli mwambie amrudishie 6 hela yake
 
Vijana wa Lohasi wapo kazini. Safari hii hasi itageuzwa kuwa chanya.
 
Mkuu wewe hunaakili kabisa yani yumba tatu kwa mtu aliyeanza kuwa waziri toka wakati wa nyerere nazo ni kitu mbona nyumba tatu chache sana kama mimi ninazo mbili wakati ninamiaka kumi kazini ije kuwa mtu aliyewaziri toka miaka ya nyerere.
 
Labda huko Simiyu sio mjini hapa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…