Samwel Sitta aanikwa uovu wake

Samwel Sitta aanikwa uovu wake

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Mzee Sita naomba nikwambie tu wazi, kwa sasa hauna mvuto kabisa, wananchi wameshakugundua we ni mtu wa aina gani, (nikisema hapa nitaonekana sina nidhamu kwa wazee)....

Kuanzisha kwako CCJ ni uhaini na usaliti mkubwa kwa chama cha mapinduzi.... Leo hii uneona haitoshi umemtuma kijana wako Ramadhani Semtawa aanzishe chama kingine, kweli unatapa tapa mzee wangu, naomba unisikilize tena, ushapoteza mvuto kwa jamii....

Kwenye swala la katika uliingia mkenge bila kujua unaingia mkenge, ulishindwa kufanya what we call political projection, naomba nikwambie hatutaki wanasiasa wasio na uwezo wa kufanya political projection...... Kwa katiba hiyo hiyo leo hii ukienda Arusha au Mara walai unapigwa mawe, wananchi hawakutaki, na wanakuona kama msaliti, mtu wa visasi, wa kupenda sifa na mtu wa maslahi binafsi....

Mzee wangu Sita, yale majumba yako Tabata, Kinondoni na Knyama uliyajenga kwa mawe? leo umenipa maajabu mengine ya dunia kwamba mawe yanaweza kujenga nyumba, nyumba zaidi ya 3 ni za nini kama huo nao siyo ufisadi?, au ndiyo muongozo mpya wa azimio la Arusha.

Mzee wangu Sita, unapogawa laki moja moja kwa wajumbe wa mkutano mkuu, (hata mimi mke wangu amepata huo mgao) umezitoa wapi hizo fedha, au wewe laki moja moja zako ni fedha feki? Au ni makaratasi tu

Mzee wangu, ukiona sisi vijana wadogo tunakushauri usikasirike bali chukua ushauri wetu. Kwa sasa hauna mvuto mzee, usipoteze muda wako kuwaza urais mzee wangu....
 
machoni anaonekana ila akilini na mioyoni mwa watanzania hayumo kabsaa.
 
Tangu aongoze hujuma dhidi ya rasimu ya wananchi huyu mzee amepoteza mvuto mbele ya jamii. Hana tofauti na mafisadi
 
Vile viboko alicharazwa na Mwl. J K Nyereree havikumbadilisha tabia, sasa afundishwe na dunia
 
Hii imekaa kimajungu zaidi.hapa tunakwenda kwa facts.kwenye katiba umepatia ila huko kwenye Nyumba mawe sijui naona hujamtendea haki ndugu.au na wewe ni mwathirika wa ile timuatimua aliyoifanya Mr. Six hivi majuzi?
 
Duh!
Na mkeo kapewa mgao wa laki moja tu? au kaleta hela pungufu nyumbani? Je amekuambia na vingine alivyopewa na mzee sitta. Hebu muulize vizuri mkeo ndio urudi tena huku.
Mzee Sita naomba nikwambie tu wazi, kwa sasa hauna mvuto kabisa, wananchi wameshakugundua we ni mtu wa aina gani, (nikisema hapa nitaonekana sina nidhamu kwa wazee)....

Kuanzisha kwako CCJ ni uhaini na usaliti mkubwa kwa chama cha mapinduzi.... Leo hii uneona haitoshi umemtuma kijana wako Ramadhani Semtawa aanzishe chama kingine, kweli unatapa tapa mzee wangu, naomba unisikilize tena, ushapoteza mvuto kwa jamii....

Kwenye swala la katika uliingia mkenge bila kujua unaingia mkenge, ulishindwa kufanya what we call political projection, naomba nikwambie hatutaki wanasiasa wasio na uwezo wa kufanya political projection...... Kwa katiba hiyo hiyo leo hii ukienda Arusha au Mara walai unapigwa mawe, wananchi hawakutaki, na wanakuona kama msaliti, mtu wa visasi, wa kupenda sifa na mtu wa maslahi binafsi....

Mzee wangu Sita, yale majumba yako Tabata, Kinondoni na Knyama uliyajenga kwa mawe? leo umenipa maajabu mengine ya dunia kwamba mawe yanaweza kujenga nyumba, nyumba zaidi ya 3 ni za nini kama huo nao siyo ufisadi?, au ndiyo muongozo mpya wa azimio la Arusha.

Mzee wangu Sita, unapogawa laki moja moja kwa wajumbe wa mkutano mkuu, (hata mimi mke wangu amepata huo mgao) umezitoa wapi hizo fedha, au wewe laki moja moja zako ni fedha feki? Au ni makaratasi tu

Mzee wangu, ukiona sisi vijana wadogo tunakushauri usikasirike bali chukua ushauri wetu. Kwa sasa hauna mvuto mzee, usipoteze muda wako kuwaza urais mzee wangu....
 
Tatizo la Mzee Sitta ni unafiki na usaliti, sawa na Zitto. Niligundua hili wakati wa mjadala wa posho za wabunge, wakati ule Sitta akikaimu uwazili mkuu.
 
...Mzee wangu Sita, unapogawa laki moja moja kwa wajumbe wa mkutano mkuu, (hata mimi mke wangu amepata huo mgao) umezitoa wapi hizo fedha, au wewe laki moja moja zako ni fedha feki? Au ni makaratasi....

Umeicopy wapi hii?
 
Wakati huo wa mjadala wa posho za wabunge (muda ule Zitto alipotangaza kuwa ameacha kuzichukua) Sitta alizitetea sana kwa hoja kuwa wabunge wanaombwa pesa mara nyingi na wananchi, hivo ni sahihi wabunge kujilipa mara mbili mbili! Kwa akili ndogo tu, hii ni hoja duni mno yenye fikra za kibeberu sana! Badala ya kuwekeza pesa kwenye miradi ya maendeleo, elimu, afya, et al, unaweka pesa mfukoni mwako ili watu wako waje kukupigia magoti kuomba!!!! Sitta hafai
 
Mkeo kakupa umbea mwAnaume mzima umepanic,unatutia aibu wenzio kwa kulalama make mie mwenyewe miaka 40 sina ila ninaweza nikajenga idadi hiyo ya nyumba na wala isiwe kesi,kwani hao wengine wanazo ngapingapi kila mmoja?
 
Mzee Sita naomba nikwambie tu wazi, kwa sasa hauna mvuto kabisa, wananchi wameshakugundua we ni mtu wa aina gani, (nikisema hapa nitaonekana sina nidhamu kwa wazee)....

Kuanzisha kwako CCJ ni uhaini na usaliti mkubwa kwa chama cha mapinduzi.... Leo hii uneona haitoshi umemtuma kijana wako Ramadhani Semtawa aanzishe chama kingine, kweli unatapa tapa mzee wangu, naomba unisikilize tena, ushapoteza mvuto kwa jamii....

Kwenye swala la katika uliingia mkenge bila kujua unaingia mkenge, ulishindwa kufanya what we call political projection, naomba nikwambie hatutaki wanasiasa wasio na uwezo wa kufanya political projection...... Kwa katiba hiyo hiyo leo hii ukienda Arusha au Mara walai unapigwa mawe, wananchi hawakutaki, na wanakuona kama msaliti, mtu wa visasi, wa kupenda sifa na mtu wa maslahi binafsi....

Mzee wangu Sita, yale majumba yako Tabata, Kinondoni na Knyama uliyajenga kwa mawe? leo umenipa maajabu mengine ya dunia kwamba mawe yanaweza kujenga nyumba, nyumba zaidi ya 3 ni za nini kama huo nao siyo ufisadi?, au ndiyo muongozo mpya wa azimio la Arusha.

Mzee wangu Sita, unapogawa laki moja moja kwa wajumbe wa mkutano mkuu, (hata mimi mke wangu amepata huo mgao) umezitoa wapi hizo fedha, au wewe laki moja moja zako ni fedha feki? Au ni makaratasi tu

Mzee wangu, ukiona sisi vijana wadogo tunakushauri usikasirike bali chukua ushauri wetu. Kwa sasa hauna mvuto mzee, usipoteze muda wako kuwaza urais mzee wangu....

Jina la kike halafu "mke wako amechukua mgao"
Mengine ngoja waje vijana es six!
 
mkuu hv wewe upo team gan? BM, EL, PINDWA, CHEMBA, TYSON, FEBRUARY au SAMUYE??
 
wakuu naomba kujua,mara nyingi nasoma humu jf kuwa sitta alichapwa bakora na hayati JK Nyerere.je alifanya nini.?na ilikuwa wapi.?mimi kijana under 30,jf ni zaidi ya darasa kwangu
 
Wakiwa UD enzi izo aliongoza mgomo wa kula maharage afu mwalimu akaenda pale kuwatia fimbo teheheheeh
 
Mleta mada naona km umeleta mambo ya kibinafsi zaidi, ungeongelea maswala ya yanayogusa zaidi maslai ya jamii, mambo ya nyumba 3 kwa mtu km sita wala sioni tatizo, labda yawe maghorofa km ppf tower, hilo la kuburuza bunge la katiba hata mm alinikera sana. Sasa na mkeo kapewa laki moja,? Za nini zote hizo, toa taarifa takukuru, au mpeleke mkeo mahakamani kwa kupokea rushwa, hapo utakuwa umeonyesha uzalendo kwelikweli.
 
Back
Top Bottom