Samwel John Sitta: Nyota iliyozimika

Samwel John Sitta: Nyota iliyozimika

Hii BMK litaenda na wengi,hata Chama chenyewe kinaweza kupitiwa na mzimu wa Katiba.
 
Hii BMK litaenda na wengi,hata Chama chenyewe kinaweza kupitiwa na mzimu wa Katiba.
Kama kuna kitu kitawaondoa ni kukosa logic ya kutetea mawazo/maamuzi yao sahihi mbele ya jamii lakini UKAWA in the eyes of many hawana jema kwa ustawi wa taifa ni kama fisi anaevizia mkono wa mtu akifikiri utaanguka kisa unaning'inia akitembea. To UKAWA serikari tatu ni kwa sababu za kisiasa tu, lakini si kwa future na ustawi wa taifa jamii.
 
Hii BMK litaenda na wengi,hata Chama chenyewe kinaweza kupitiwa na mzimu wa Katiba.
Ni kweli kabisa, hicho kiburi cha Samuel Sitta siyo tu ni kitanzi chake cha kisiasa, bali pia ni kukichimbia kaburi chama hicho kikongwe kabisa hapa nchini.

Hivi hao CCM wanaendelezaje ubabe wa kuendelea na vikao vya bunge, licha ya miito yote hii inayotolewa na makundi mbalimbali hapa nchini, kutokana na bunge hilo kukosa uhalali wa kuendelea kutokana na kukosa idadi ya 2/3 ya wabunge toka Tanganyika na Zanzibar, inayotakiwa kupitisha Rasimu hiyo.

Hivi hao CCM si ndiyo huwa wanamuona Mwigulu Nchemba, kuwa 'shujaa' wao kwa namna ambavyo alikuwa akiwatukana na kuwakashifi ukawa wakati ule bungeni, sasa imekuwaje safari hii walishindwa kumshangilia kwa kumpigia makofi na kuumpigia vigelegele wakati alipowapa ukweli mchungu kuwa idadi ya wabunge waliopo Dodoma kwa sasa haifikishi idadi ya 2/3 ya wabunge wa Tanganyika na Zanzibar inayotakiwa kuipitisha katiba hiyo.

Ni jambo la dhahiri kwa sasa kuwa anguko kubwa la CCM litatokana na kiburi chake cha kupuuza maoni ya wananchi yaliyotolewa kupitia Tume ya Warioba na badala yake kung'ang'ania, kutuchomekea Rasimu yao waliyotuandalia pale Lumumba!!
 
Nina Shaka na uwelevu wako juu ya siasa au tuseme ni chuki binafsi

Join Date : 12th August 2014
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

[h=2]
icon1.png
[/h]

Mkuu umepiga hodi lakini? mambo mengine utakuja kujua taratibu usiwe na haraka.
 
Kama kuna kitu kitawaondoa ni kukosa logic ya kutetea mawazo/maamuzi yao sahihi mbele ya jamii lakini UKAWA in the eyes of many hawana jema kwa ustawi wa taifa ni kama fisi anaevizia mkono wa mtu akifikiri utaanguka kisa unaning'inia akitembea. To UKAWA serikari tatu ni kwa sababu za kisiasa tu, lakini si kwa future na ustawi wa taifa jamii.
Kikubwa ni maoni wananchi kuzingatiwa.UKAWA kwa hili nawaunga mkono maana haikuwepo wakati tume inapitia wananchi kukusanya maoni,nami nilitoa maoni mengi ikiwamo ya serikali tatu.Kinachotokea sasa ni dhahiri fedha za walipa kodi zinafujwa kwa kitendo cha kujadili isiyo Rasimu ya Tume.
Ukawa kwa kutokuwa sehemu ya udhalimu huo,nawapongeza sana
 
Wana JF naomba Muongozo,
Maakama ya kadhi ni suala la Muungano au ni suala la nchi washirika?
asanteni.
 
Wana JF naomba Muongozo,
Maakama ya kadhi ni suala la Muungano au ni suala la nchi washirika?
asanteni.

Hapa ngoja tuombe msaada kwa Wataalam wa katiba,maana eneo hilo sikulifatilia kabisaaa
 
Sita hakuwahi kuwa hata kibatari iliyozimika achilia mbali nyota.

Kwani Sita gani mnaemzungumzia hapa?? kama ni Yule wa urambo tuulizeni sisi watu wa huko.. charity begins at home....
 
Kikubwa ni maoni wananchi kuzingatiwa.UKAWA kwa hili nawaunga mkono maana haikuwepo wakati tume inapitia wananchi kukusanya maoni,nami nilitoa maoni mengi ikiwamo ya serikali tatu.Kinachotokea sasa ni dhahiri fedha za walipa kodi zinafujwa kwa kitendo cha kujadili isiyo Rasimu ya Tume.
Ukawa kwa kutokuwa sehemu ya udhalimu huo,nawapongeza sana
Ni rasimu ipi sasa inayoenda jadiliwa embu tuwekee basi ata attachment tuone kama kuna rasimu nyengine UKAWA wamepewa kujadili tofauti na iliyotolewa na tume.

You know what they say uongo ukirudiwa rudiwa mwishowe watu wanaweza amini.
 
Sitta ni nyota inayoendelea kung'aa ila mnajitahidi kwa nguvu zote Kuizima au kuifunika ..... Lakini kawaida panapo ukweli uongo hujitenga.......
Pia tukumbuke uongo hupaa ila ukweli hapanda ngazi... Hatua kwa hatua ... Vipingamizi vingi na miba ya kila aina mwisho wa siku ukifika juu haushuki ng'ooo ndo yanayomkuta sitta...

Mmekazana kupika fitna kuwa safari yake ya kisiasa imefika mwisho ila facts hamna!!!!!!!

No research... No right to speak....

No facts... No right to argue.......

Acheni fitna za kisiasa angalieni penye hali kwa maslahi y taifa.... Peace

Mwenye macho haambiwi tazama. Kinachoendelea nyakati hizi kila mtu anakishuhudia. Sijui wewe mwenzetu unaishi dunia ya wapi na unataka ukweli upi??
 
Back
Top Bottom