Mzee wa speed na viwango................. Mama kaanza vibaya kama sura yake......
Uwepo wako kukosekana katika kiti cha Spika wa bunge kumeonesha mapungufu mengi sana! Hekima zako, busara, utulivu na umakini katika kuendesha shughuli za bunge ndizo hasa zinatufanya tukumbuke umahili wako katika nafasi hii ya usipika! Uwazi na Ukweli pia haki ulivyokuwa navyo vilisababisha bunge kuwa na mafanikio makubwa! Sasa, sijui kwa namna ya sasa kama tutafika! Sijui!

Gurudumu haya ni kweli kabisa, mwanzoni nilimiona SS anasmile mambo yalivyozidi kumwendea kombo Mama Anna, SS akabaki kufadhaika. Mama Anna analiendesha bunge kwa overconfidence ambayo ni dalili ya lack of confidence ila tatizo kubwa la Mama Anna ni kule kukosa authority na kuuacha ukumbi wa bunge ugeuke uwanja wa mipasho na msuto!.nadhani 6 anaumia rohoni kuliko sisi tunaom miss. jana nilimuona alivyokuwa anashangaa jinsi wabunge wanavyofanya mambo ya kitoto nadhani alikuwa anaumia sana. Kwa mtazamo wangu sidhani kama azimio lililopitishwa jana lingepitishwa kama 6 angekuwa spika