Samuel sitta, nisingeshiriki karamu ya wenye dhambi

Hakuna jina limfaalo Sita kwa sasa maana tukimwita mhuni, wahuni wengi madhara yao huwa si kama ya Sita. Tukimwita mwizi, wevi wa kawaida huwa hawaibi pesa nyingi kama hizi alizoiba Sita na wenzake. Tukimwita mhaini, wahaini hupindua serikali, lakini Sita amepindua mamlaka ya wananchi.

Huyu Sita hakuna hata adhabu imfaayo. Akigombea tukamnyima kura, hata watu wema kuna wakati wanakosa kura. Akiwekwa jela, hata wevi wa kuku wapo jela. Tukiamua anyongwe, kuna walionyongwa kwa kuua hata mtu mmoja tu lakini Sita ameua Taifa lililotarajiwa. Sita anafaa kupewa adhabu gani? Mungu ndiye ajuaye.
Huyu ni wa kukatiakatia Mbwa vipande vya nyama zake tuone kama wanaweza kuvila, mm nina shaka sana kama wanaweza kula maana dhambi ya huyu haramia hata mzoga wake Mbwa wanaweza kukataa kuula.
 
Nadhani Mbwa, Kinyago, Mshenzi, Mbwa mwitu, Ibilisi, Shetani ndiyo majina yanayofaa kuitwa huyu mpumbavu..... Hana sifa ya kuitwa Mh huyo
 
Hakuna jina limfaalo Sita kwa sasa maana tukimwita mhuni, wahuni wengi madhara yao huwa si kama ya Sita. Tukimwita mwizi, wevi wa kawaida huwa hawaibi pesa nyingi kama hizi alizoiba Sita na wenzake. Tukimwita mhaini, wahaini hupindua serikali, lakini Sita amepindua mamlaka ya wananchi.

Huyu Sita hakuna hata adhabu imfaayo. Akigombea tukamnyima kura, hata watu wema kuna wakati wanakosa kura. Akiwekwa jela, hata wevi wa kuku wapo jela. Tukiamua anyongwe, kuna walionyongwa kwa kuua hata mtu mmoja tu lakini Sita ameua Taifa lililotarajiwa. Sita anafaa kupewa adhabu gani? Mungu ndiye ajuaye.

UMENENA YALIYO KWELI adhabu yake SITA tumwachie MMUMBA anaye hukumu kwa HAKI, ila tusikate tamaa MUNGU HAWATUPI WAJA WAKE IPO SIKU SISI AU WANA WETU WATAIONA TANZANIA TUITAKAYO, jambo jema huchukua muda kutokea acha wajisifu na kujipiga vifua kwa kushangilia ushindi wa DUNIANI vitu vya kupita kuna ambapo panafaa sisi kwenda baada ya kumaliza kazi zetu hapa DUNIANI, huko SITA atasimama peke yake na kuulizwa yote aliyokuwa anatenda hata muona mtu wa kumsadia kujibu, kwani hata akina WASIRA watakuwa wanasbiri zamu zao kohojiwa ni jambo la muda tu.UBARIKIWE
 
Hivi miaka 71 Sitta bado anataka kuwa rais?????!!!

Ukishakuwa ndani ya CCM hata ufikishe miaka 100 bado unajiona una uwezo wa kuongoza,si wanajua tunaoongozwa hatuna gubu Kila kitu tunaridhika...........
 
Nakubaliana nawe bantulile kwa asilimia zote haiwezekani kumwachia mungu kwenye uharamia huu wa sita hata kidogo hapa ni kumuomba mungu atutangulie kudai katiba tuitakayo na tumuombe atuongoze kukomesha usenge na ubakaji wa demokrasia alio ufanya sita na chama chake!.sita huwa ni mnafiki na sasa ni kawa kondom,mke wake nae mnafiki hawazi kua mfano kwa wawa wa taifa hili.
 
Ccm imewaharibu hadi walemavu,yule kipofu ndani ya bunge amejikuta akisifia katiba hii hadi kusema kikwete ni raisi wa mfano duniani! Daah.hivi kikwete awe mfano duniani kwa viongozi!?hata kwa familia yangu kikwete hawezi kua mfano.au sita awe mfano kwa kutunga katiba?naamini sita na bunge lote la katiba wawe mfano katika mambo ya kipuuzi,ujambazi,uizi na mambo ya kifirauni!.bunge lipi liliwahi pitisha katiba mbovu na kuichezea viduku,kigodoro na tukunyema!sita na familia yako subirini aibu isiofutika.
 
Hakuna jina limfaalo Sita kwa sasa maana tukimwita mhuni, wahuni wengi madhara yao huwa si kama ya Sita. Tukimwita mwizi, wevi wa kawaida huwa hawaibi pesa nyingi kama hizi alizoiba Sita na wenzake. Tukimwita mhaini, wahaini hupindua serikali, lakini Sita amepindua mamlaka ya wananchi.

Huyu Sita hakuna hata adhabu imfaayo. Akigombea tukamnyima kura, hata watu wema kuna wakati wanakosa kura. Akiwekwa jela, hata wevi wa kuku wapo jela. Tukiamua anyongwe, kuna walionyongwa kwa kuua hata mtu mmoja tu lakini Sita ameua Taifa lililotarajiwa. Sita anafaa kupewa adhabu gani? Mungu ndiye ajuaye.

Naweza kufeel machungu uliyonayo katika maneno haya makali. Nakuapia, daima Mungu yuko upande wa wanyonge na wanaonanyaswa na machungu ya Watanzania wengi wanyonge Mungu anayajibu muda si mrefu.
 
Nadhani Mbwa, Kinyago, Mshenzi, Mbwa mwitu, Ibilisi, Shetani ndiyo majina yanayofaa kuitwa huyu mpumbavu..... Hana sifa ya kuitwa Mh huyo

Hahaahahahahahaha! Swadakta!
 
Yaan nimeudhikaa hapaa huyu sita pumbavu kwelii
 
Katiba ya tanzania siyo sura ya muungano tu..!kuna vitu kibao vya kupitisha kwa vizazi vijavyo so 1+1= itabaki 2 milele...kajadilini sura ya muungano hukoooooo
 
Back
Top Bottom