Elections 2010 samuel sitta kupewa uwaziri kama kifuta jasho..na mzee wa kaya

komagi

Member
Nov 1, 2010
62
2
wana kaya kuna tetesi katika pita pita yangu kuwa mkuu wa kaya anataka kumpatia mh. 6 uwaziri fulani ilikumpoza na machungu ya kukosa nafasi ya kugombea uspika wa JMT kwa tiketi ya ccm.
 
RA na EL wataafiki????????????????????????????????? Vinginevyo ni ndoto!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Utawala wa mkapa Jackson Makwete alikaa benchi 10 years hii ni baada ya kusema aliwahi kumpa karipio Mh Sumaye wakati wa kujadili hotuba ya kumuhizinisha Sumaye awe waziri Mkuu. kati ya wabunge 329, why only Mh Sitta; wako wengi wa kupewa uwaziri. Labda wampe kile cheo cha kuongoza kamati ya usalama alichokuwa nacho Malechela
 
Sita ndo kashakalia kuti kavu. Kama yeye(6) nibjeuri akihame chama.
 

5years mkuu na siyo 10. Maana 1995-2000 alikuwa waziri wa nchi utumishi
 
Itakuwa ngumu kwani kwake ni kama fedhehw. Ni sawa na Lowasa leo umwmbie awe Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi utakuwa unataka kumfedhehesha tu.
 
Kuna taarifa kwamba hata mkewe safari hii hapati uwaziri ..... habari ndiyo hiyo!
 
Ingelikuwa mimi ndiyo 6 ningekataa vyeo vya fadhila, hata kukihama chama.
 
wana kaya kuna tetesi katika pita pita yangu kuwa mkuu wa kaya anataka kumpatia mh. 6 uwaziri fulani ilikumpoza na machungu ya kukosa nafasi ya kugombea uspika wa JMT kwa tiketi ya ccm.


Ataundiwa tume ya kumchunguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…