Na wewe unakuwa kama mtoto ambaye hajasoma wapi sitta kamtaja jk na kagame? Yeye kasema wanasiasa wawili wewe unajuaje kuwa ni jk na kagame kama siyo umbea,kwa nini isiwe slaa na jk au kagame na slaa au kenyatha na jk au vinginevyo acha kuwekea maneno watu mdomoni.
Hi Ben,Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !
ndugu how old are you?
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema ugomvi wa wanasiasa katika jumuia hiyo hauwezi kuathiri shughuli za kibiashara na uchumi wa Tanzania kwa kuwa wafanyabiashara wanaangalia faida zaidi katika shughuli zao.
Sitta alitoa kauli hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari waliotaka kujua athari za kiuchumi zitakazopatikana baada ya kuwapo kwa taarifa ya wafanyabiashara wa Rwanda kutaka kupitisha mizigo yao katika bandari ya Mombasa badala ya ile ya Dar es Salaam.
Alisema kuwa taarifa ya wafanyabiashara wa Rwanda kuazimia kutumia bandari ya Mombasa si za ukweli na kwamba wanaofanya hivyo ni wale waliokosa zabuni mbalimbali ambazo pia hakuzitaja ni zabuni ya nini.
"Mimi ninachojua suala la hapa ni uchumi. Huu ugomvi wa wanasiasa wawili hauwezi kuwakimbiza wafanyabiashara na ukiangalia wanaopitisha mizigo ni wafanyabiashara na si serikali zinazolumbana," alisema.
Aliongeza kuwa migongano baina ya nchi na nchi haiepukiki hususan zilizo jirani na kuita hali hiyo ya mpito huku akisisitiza kuwa maelewano baina ya Tanzania na Rwanda yatarejea muda si mrefu.
Waziri Sitta alisema umbali kati ya Mombasa na Kigali ni kilometa 2300 na kutoka Dar es Salaam hadi Kigali ni kilometa 1400, suala alilodai wafanyabiashara wataangalia umbali katika kutafuta faida ya kazi wanazozifanya.
Alieleza kuwa mkakati mwingine wa kuwafanya wafanyabishara wazidi kuitumia bandari ya Dar es Salaam ni kupunguza vizuizi vya njiani kutoka 15 vya sasa hadi vitatu.
Alisema kuwa na vizingiti vingi barabarani ni tatizo huku akiwashangaa askari wanaosimamisha magari yenye lakiri ambazo hawawezi kuzifungua na kueleza hali hiyo ni kero kwa madereva na wafanyabiashara.
Juzi, msemaji wa Chama cha mizigo nchini (Tatoa) Elias Lukumay, aliiambia kamati ya Bunge ya Bajeti kuwa nchi za Rwanda na Uganda zimekubaliana kutumia bandari ya Mombasa kutokana na urasimu unaodaiwa kuwepo katika bandari ya Dar es Salaam.
Alisema nchi hizo zimekubaliana kuanza kutumia bandari ya Mombasa kuanzia Septemba mwaka huu.
Uamuzi huo wa Rwanda na Uganda unatafsiriwa kuwa unatokana na msigano wa kisiasa ulioibuka hivi karibuni baina ya Rais Jakaya Kikwete na Paul Kagame wa Rwanda baada ya ushauri wake wa kumtaka Kagame akutane na waasi kwa ajili ya kujadili amani ya taifa lao
Burundi hawana tatizo kwani kikao walikaa Marais watatu ni kweli mombasa ni mbali sana lakini Mombasa hawana usumbufu bandarini kama Dsm na pengine gharama za usumbufu ni kubwa kuliko umbali toka mombasa hadi Uganda na Rwanda ikumbukwe pia wakati mwingine mizigo ya Rwanda hupita Sirari Tarime hadi kagera na kuingia Rwanda je?wakiamua kuhama Dsm kwenda mombasa hawatapitia Tanzania?
Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !
Burundi hawana tatizo kwani kikao walikaa Marais watatu ni kweli mombasa ni mbali sana lakini Mombasa hawana usumbufu bandarini kama Dsm na pengine gharama za usumbufu ni kubwa kuliko umbali toka mombasa hadi Uganda na Rwanda ikumbukwe pia wakati mwingine mizigo ya Rwanda hupita Sirari Tarime hadi kagera na kuingia Rwanda je?wakiamua kuhama Dsm kwenda mombasa hawatapitia Tanzania?
mmh.....sitta alifaa abaki tu kwenye u-spika huku kapotea kabisa....serikali ina say kubwa kwa wafanyabiashara wake kuhusu wapi watrade na wapi wasi-trade....mfano hai kuna mfanyabiashara wa mchele alikuwa akinunua maeneo ya shinyanga na mwanza kipindi cha nyuma....guesss what mara ya mwisho kupigiwa simu alisema hatoweza kuendelea na hiyo business kwa sasa kwa sababu ya hali ya kisiasa kati ya tZ na RW,"hali ikikaa vizuri tutaendelea" (Kayumba)...alafu umbali si issue sana kama ukiritimba na rushwa za hapa zinapelekea gharama kuongezeka hata zaidi ya gharama za umbali wa km 1000....jua gharama za umbali zinajulikana kabla predetermined ila rushwa na ukiritimba mwingine haupo predetermined .....they will definitely choose the best option....nakubali ushauri alotoa....zile nyingine zilikuwa longo longo tu.....
Na wewe unakuwa kama mtoto ambaye hajasoma wapi sitta kamtaja jk na kagame? Yeye kasema wanasiasa wawili wewe unajuaje kuwa ni jk na kagame kama siyo umbea,kwa nini isiwe slaa na jk au kagame na slaa au kenyatha na jk au vinginevyo acha kuwekea maneno watu mdomoni.
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema ugomvi wa wanasiasa katika jumuia hiyo hauwezi kuathiri shughuli za kibiashara na uchumi wa Tanzania kwa kuwa wafanyabiashara wanaangalia faida zaidi katika shughuli zao.
Sitta alitoa kauli hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari waliotaka kujua athari za kiuchumi zitakazopatikana baada ya kuwapo kwa taarifa ya wafanyabiashara wa Rwanda kutaka kupitisha mizigo yao katika bandari ya Mombasa badala ya ile ya Dar es Salaam.
Alisema kuwa taarifa ya wafanyabiashara wa Rwanda kuazimia kutumia bandari ya Mombasa si za ukweli na kwamba wanaofanya hivyo ni wale waliokosa zabuni mbalimbali ambazo pia hakuzitaja ni zabuni ya nini.
"Mimi ninachojua suala la hapa ni uchumi. Huu ugomvi wa wanasiasa wawili hauwezi kuwakimbiza wafanyabiashara na ukiangalia wanaopitisha mizigo ni wafanyabiashara na si serikali zinazolumbana," alisema.
Aliongeza kuwa migongano baina ya nchi na nchi haiepukiki hususan zilizo jirani na kuita hali hiyo ya mpito huku akisisitiza kuwa maelewano baina ya Tanzania na Rwanda yatarejea muda si mrefu.
Waziri Sitta alisema umbali kati ya Mombasa na Kigali ni kilometa 2300 na kutoka Dar es Salaam hadi Kigali ni kilometa 1400, suala alilodai wafanyabiashara wataangalia umbali katika kutafuta faida ya kazi wanazozifanya.
Alieleza kuwa mkakati mwingine wa kuwafanya wafanyabishara wazidi kuitumia bandari ya Dar es Salaam ni kupunguza vizuizi vya njiani kutoka 15 vya sasa hadi vitatu.
Alisema kuwa na vizingiti vingi barabarani ni tatizo huku akiwashangaa askari wanaosimamisha magari yenye lakiri ambazo hawawezi kuzifungua na kueleza hali hiyo ni kero kwa madereva na wafanyabiashara.
Juzi, msemaji wa Chama cha mizigo nchini (Tatoa) Elias Lukumay, aliiambia kamati ya Bunge ya Bajeti kuwa nchi za Rwanda na Uganda zimekubaliana kutumia bandari ya Mombasa kutokana na urasimu unaodaiwa kuwepo katika bandari ya Dar es Salaam.
Alisema nchi hizo zimekubaliana kuanza kutumia bandari ya Mombasa kuanzia Septemba mwaka huu.
Uamuzi huo wa Rwanda na Uganda unatafsiriwa kuwa unatokana na msigano wa kisiasa ulioibuka hivi karibuni baina ya Rais Jakaya Kikwete na Paul Kagame wa Rwanda baada ya ushauri wake wa kumtaka Kagame akutane na waasi kwa ajili ya kujadili amani ya taifa lao
Mkuu wakati mwingine ni vigumu sana kumuelewa Mh.SITA, yeye ni mwana sheria kitaaluma mtu ungetegemea angetumia walao lugha ya kidiplomasia kidogo, sina shaka alijua fika Mh.JK alitoa kauli hile akiwa na wadhifa gani na alikuwa anawakilisha nchi/kitengo gani cha AU; sasa hili la Mh. Sitta kutoa impression as if ni ugomvi baina ya watu wawili wanaosigana, ana maana gani? Binafsi kauli ya Mh.Sitta inanipa wakati mgumu sana kuielewa!! Kama kauli hiyo ingetolewa na Waziri wa Rwanda ningelewa ni propaganda lakini inapotolewa na Waziri aliye teuliwa na JK kwenye Cabinet yake basi mtu mwenye akili timamu unajua kauli hiyo haikutolewa kwa bahati mbaya, kuna tatizo - somewhere. Nasema hivi, kama Mh.Sitta hana spirit ya collective leadership basi ningemshauri ajiuzuru wadhifa wa Uwaziri ili ajiweke huru kusema apendalo.Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !
Hapa inaonekana,hata sita mwenyewe yupo,upande wa kagame.mbona kipindi hiki haja fwatuka,namaneno yake kama anapo washambulia wabunge,waviti maalum,napia kama waziri wadhamana haja wauliza wenzake mawaziri,hivyo vikao vyao vya nchi tatu badala ya nchi tano maana yake nini?east afrika ya sasa niunafiki.