Samuel Ntakamulenga, njoo uikomboe Urambo Mashariki!

Samuel Ntakamulenga, njoo uikomboe Urambo Mashariki!

MPAMBWE

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
137
Reaction score
29
Sisi wakazi wa jimbo la Urambo Mashariki,kwa kukaa muda mrefu tukiwa tunaendeshwa na siasa za kibabe na vitisho toka kwa mbunge ambaye moja ya majina yake ni namba iliyopo kati ya 5 na 7 na ambaye wakati furani alisha kuwa kipaza sauti pale mjengoni,mwaka 2015 uwe ni mwaka wa kumpumzisha ili vijana na wao washike nafasi natuzikatae hila zake za kutaka kumnadi mke wake ili abadilishane nae kijiti cha Ubunge kwani hiyo ni dharau mbaya mno kwani kufanya hivyo nikuamini kuwa jimbo letu halina msomi mwingine anaye weza kutuongoza na hizo ni hila za kuendeleza Usultani wake,naomba kuwasilisha!
 
Unampigia kampeni au unamuita? si ungempigia simu. UKWELI NI KWAMBA 6 akafungwe kwa kujaribu kuleta machafuko TZ, na apatikane mbunge mwingine
 
Fanyeni kweli wakuu, ukawa najua wataweka mtu hapo muungeni mkono make hayupo mbadala wa ccm zaidi ya ukawa, vyama vingne ni mashostito wa escroccm
 
Samuel Ntakamulenga. Hili jina sio geni. Kama tulimaliza O level pamoja Mazengo vile
 
Nadhani pia huwa anaandika makala flani katika gazeti. Bahati mbaya sikumbuki ni lipi
 
Sisi wakazi wa jimbo la Urambo Mashariki,kwa kukaa muda mrefu tukiwa tunaendeshwa na siasa za kibabe na vitisho toka kwa mbunge ambaye moja ya majina yake ni namba iliyopo kati ya 5 na 7 na ambaye wakati furani alisha kuwa kipaza sauti pale mjengoni,mwaka 2015 uwe ni mwaka wa kumpumzisha ili vijana na wao washike nafasi natuzikatae hila zake za kutaka kumnadi mke wake ili abadilishane nae kijiti cha Ubunge kwani hiyo ni dharau mbaya mno kwani kufanya hivyo nikuamini kuwa jimbo letu halina msomi mwingine anaye weza kutuongoza na hizo ni hila za kuendeleza Usultani wake,naomba kuwasilisha!

Anafaa,muungeni mkono,namfahamu vizuri nimesoma naye darasa moja chuo,alikuwa vice president nami nilikuwa waziri wake.
 
Sam jembe, njoo uchukue jimbo, cha kupigania upitishwe na UKAWA basi.
 
Sam ni jembe kweli ila mpaka muda huu ameshatia nia ya kugombea urambo mashariki? au mtoa hoja wewe ndo unamshawishi agombee? kuna kijana ambae nae alishatangaza nia ya kutaka kugombea jimbo hilo Paul Andrew Maganga na anajinadi kuwa ni mwana ukawa na amefanya kazi nzuri ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa na kuweza kunyakua baadhi ya mitaa na vitongoji ukiwemo mtaa anaoishi 6.
 
Back
Top Bottom