Samuel Eto'o learns not to lend his Bentley to teammates | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samuel Eto'o learns not to lend his Bentley to teammates

Discussion in 'Sports' started by Kubwajinga, Mar 20, 2010.

 1. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Samuel Eto'o learns not to lend his Bentley to teammates

  By Brooks Peck; Fri Mar 19, 2010 12:59 pm EDT
  [​IMG]  According to a report in La Repubblica, Inter Milan striker Samuel Eto'o's €150,000 Bentley GT, which he lent out to rarely used teammate Marko "The Austrian Cristiano Ronaldo" Arnautovic for some reason, was stolen near the Sheraton Hotel in the Porta Venezia district of Milan on Thursday night. Arnautovic was the one who noticed the car had gone missing and notified the police, but it seems there are no leads as to who took it (I'm guessing it was Materazzi).

  This is why you don't loan a Bentley to your 20-year-old teammate.
   
 2. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  I hope he had it well insured.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  ndio akomege. watoto wa kiafrika wanakufa kwa kukosa net ya mbu, yeye anaendesha Bentley ya mabilioni.
   
 4. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Wanasema mapato lazima yawiane na life style/matumizi yanaendane na kipato. Binadamu yeyote anapofikia kulipwa dola 80,000 atataka kuishi maisha kama hayo ya kutanua na Bentley, nk. Vita dhidi ya malaria, umaskini, nk. ni kazi ya serikali za kiafrika
   
 5. T

  Tizo Member

  #5
  Mar 20, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mr. Reginald Mengi is very stupid to allow this to go on at his media outlets. Part of duties its media outlets play is to inform and educate people. He is very silly. I was in shock when I came to know that they were not broadcasting or writing any thing "simba" for some lame reason.

  We are his customers and we pay him to pay his employees and for him to make profit. As consumers , we can retaliate by not buying or using anything with his trade marks even if it is for free.

  I , for one, I no longer watch ITV, Listern to Radio One and I am now drinking Pepsi. I am switching to UHAI and sensodyne for a toothpaste.

  On the day we play Yanga I will come with a big plackard telling all football fans and all who love media to boycot the childish bullshit at IPP Media.

  Mengi empire is run by mad men.

  As for cloud fm!! these are nothing better.they are the lesser evil because their snub is subbtle. But Cloud entertainment are Mafia fellas. I have read and heard what they have done to Mr. Two ( Mbilinyi) and other artists and I tell you these are also to be boycotted. First of all they have assumed a role of Campaign heard quaters of the Top Brass in CCM. They have no objectivity at all. They sell their ignorance so much. I detaste them so much, I feel vomiting. They lick the boots of JK as if they can not live without him. In the face of politicians , they are scandalous!!! Total garbage. I think they think they can bacome powerful force some day by forgetting that the neutrality they had previously is what attaracted and made people gravitate towards their station.

  I hate them because they have become banners of politicians, mostly top brass.

  If you listern to Jahazi, Gadner keeps on playing his wife's songs.... even though there hundreds of artists in the country, forget about the world. He keeps on playing his wife's choir songs. We know he is the manager of his wife. But for goodnes's sake, kick out the biaseness.
   
 6. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2010
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwani hilo gari halikuwa na bima? Atalipwa na bima kama alinunua bima ya kujisitiri na wizi. Kwa kawaida magari kama hayo huwa hayauzwi bila ya kukatiwa bima.
   
 7. senator

  senator JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Am trying figure out how much will t b in Tshs?!!
  €1 equivalent to Tsh 2300
  €150,000 =Tsh 345,000,000 !!!Mpunga mrefu kweli huu.Kuna mdau kasema nukta hapo kuwa kipato kinapoongeza na maisha yako yanabadilika pia..wacha alae maisha kwa jasho lake...
   
 8. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mkuu pamoja. Pamoja sana tu. I like this
   
 9. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huyo bwana anakunja hela ndefu sana per week, so nadhani hiyo €150,000 ni sehemu ndogo tu ya kile avunacho kupitia kipaji chake. Nini mavuno yatokanayo na vipaji vya Tizii?
   
 10. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2010
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu
  hebu fafanue ni katika nchi gani watoto wanakufa kwa kukosa net halafu utuambie hiyo nchi mapato na matumizi yake makubwa yameelekezwa wapi na pia utupe na figure za mishahara ya Rais na Mawaziri wake. Pia Usiasahau kutuletea picha ya magari anayotumia Rais wa nchi hiyo na Mawaziri wake. Halafu ujiulize, je wanavuja jasho kama Eto'o?
  Muache Sam afaidi jasho lake na uwaambie viongozi wa kiafrika wawajibike kwa watoto wao.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hayo ni yako na nakusubiria wewe mwenyewe ndio uyatolee maelezo.

  Nitawezaje kumzuia Eto'o-Fills kujinafasi? Hapa tunajadili tu which is right thing kufanya as Africans. Mawazo yangu ni kuwa kwa Eto'o kununua mchuma kaa huo ni ulimbukeni na ubinafsi. Sisemi haya kwa Eto'o pekee, bali wengi wa Waafrika tuliokulia Africa na kuona challengez za kule is an insult kwa kweli kuishi kama mastaa wa Europe au Merekani. Si tu kutoa neti za mbu kwa wamama wajawazito, angeweza hata ku-invest ile hela ikazaa ajira kwa watu wa nchi yake, na yeye akazidi kupata mapato zaidi. Lakini kwa ujuha wake, anairudisha ile hela kwa wakoloni kwa kununua gari ambalo wameishia kumchapa.. ndio atie akili.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Vita ya kumkomboa mwanadamu kutoka kwa madhila ya umaskini, ujinga, maradhi etc etc, ni ya kila mmoja wetu, haswa wale wenye nafasi ya kuweka impact kubwa kama hawa mastaa. Ndo maana hata UN inawatumiaga hawa kwenye kampeni zake.
   
Loading...