Ngoja tuone huyo Apple nae atakuja vipi hiyo tar 9
Galaxy note 4 haina jipya, ila hii note 4 edge imeleta innovation kidogo hapo kwenye hiyo curved screen. ingawa kwa left ended ni useless,,,, ,, kila mtu macho na masikio hadi sasa ni tar 9 sep, Apple akichemka tu hii note edge ndio simu ya mwaka ikifuatiwa na LG g3,,, . ila IFA kabla haijaisha nangoja Lumia series nione maana Nokia by Microsoft brand imetuhaidi "SuperMan" Cc: chief-mkwawa
again cool stuff from samsung...i like the curve thing idea....
sina uhakika sensibility yake itakuwaje huo upande curved, maana inaweza kuwa ni shida kidogo...
actually its the first cool stuff from samsung, i like the premium look, siyo miplastiki yao ya mwanzo! unasema sensibility au ulikuwa unamaanisha sensitivity? kama ni sensibility natumai ulikuwa unamaanisha practicality, usefullness, kanakuwa kama kadock flani hivi frequently used apps au functions zinakuwa easily accessible hapo, its an ingenious idea, mimi nilikuwa nawachukia samsung lakin hapa wamenivuta!
nafkiri kwa trend ya miaka 4 iliyopita , watatoa iPhone 6 yenye 4.5inch Screen na bei zake zitakuwa $649, $749 na $849 kwa 16GB, 32GB na 64GB respectively..Ngoja tuone huyo Apple nae atakuja vipi hiyo tar 9