Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,392
Hata kwa samsung kuna simu demo nyingi tu pengine kuliko hata hizo iphone zenye icloud. Hizi demo wanatoa vioo nazo maana haziingii line.Halafu kitu kingine watu wanasahau kwamba cases za iphone kubadili vioo ni nyingi huenda kuliko hata simu ya aina nyingine yoyote... na hilo ni kwa sababu uwepo wa iphone zenye icloud nyingi mtaani na hivo watu kuziuza kama spear... kwa hiyo mtu simu yake ikicrack kdg tu anaingia mtaani.... na hapa ndo fingerprints nyingi zinazingua....
hivi ww mtu anayenunua spea za demo kwenye samsung utafananisha gharama yake na mtu anayenunua spea iphone yenye icloud....Hata kwa samsung kuna simu demo nyingi tu pengine kuliko hata hizo iphone zenye icloud. Hizi demo wanatoa vioo nazo maana haziingii line.
Probably demo ni gharama zaidi, iphone kaanza juzi kwenye iphone x kutumia oled, samsung yupo kitambo.hivi ww mtu anayenunua spea za demo kwenye samsung utafananisha gharama yake na mtu anayenunua spea iphone yenye icloud....
mbali na mbali....
simu za icloud ukiwa na laki unapewa fungu hata la simu 5... sababu mtu hawezi itumia... .the only thing anaweza fanya ni kuuza spea....Probably demo ni gharama zaidi, iphone kaanza juzi kwenye iphone x kutumia oled, samsung yupo kitambo.
Oled ina gharama kuliko lcd ya kawaida.
Demo mpya ya s9 inaweza fila laki 6 ama zaidi, demo za simu za zamani kama note 4 maybe around laki 2 ndio unapata. Simu ya icloud inauzwa kiasi gani?
me mwenyewe na huawei yangu face unlock inakubali hata gizani.....Nilitoka Siemens, nikaja Nokia nikaenda Blackberry kisha nikaingia kwenye iPhones mwaka 2013 sijawahi kujuta kutumia iPhones.
Kuna jamaa juzi kati tulikuwa nae akawa anastruggle kutumia Face Unlock kwenye Samsung hadi akawasha tochi kwa simu nyingine (Ilikuwa usiku) but iPhone X hata kwenye giza Face Unlock inafanya kazi.
Wajipange zaidi.me mwenyewe na huawei yangu face unlock inakubali hata gizani.....
Kama ndo ivo ulishawai kuona wapi mtu anauza Samsung au brand nyingine tofauti na apple af akasema Finger print [emoji808]???? Huo ndo ubovu wenyewe tunao sema. Kwann mtu akireplace kioo ife Touch ID
Ndio maana apple anahitaji vendor wengine wa vioo kama LG kwa miaka ijayo,Samsung ni mlipuaji tu ndio maana walipigwa penalty baada ya kuchelewa kutoa OLED na wakasababisha iphone x zichelewe kutoka,akitokea vendor mwingine watajifunza na wataacha ulipuaji.Iphone x
Ukiona fundi kafungua Iphone 6,6plus au 7 kwa ajili ya kubadili kioo, alafu badae Fingerprint haifanyi kazi. Hapo fundi anakuwa alikosea kwenye kuhamisha ila button ya fingerprint.
Kuna hitaji umakini kiasi kwenye kila kazi unayofanya hasa kwenye kubadili kioo.
Hakikisha unapo maliza kufungua kioo una test speaker na fingerprint kama viko sawa huo ndio ufundi.
Kuna xender View attachment 868523
Kila Apple akihama kwa samsung ama qualcomm kinachotokea unakijua na naamini unakijua ila unajibaraguza tu.Ndio maana apple anahitaji vendor wengine wa vioo kama LG kwa miaka ijayo,Samsung ni mlipuaji tu ndio maana walipigwa penalty baada ya kuchelewa kutoa OLED na wakasababisha iphone x zichelewe kutoka,akitokea vendor mwingine watajifunza na wataacha ulipuaji.
Samsung anaweka price za OLED anazotaka kwa sababu wanajua apple hawana pa kwenda tangu yeye ndie vendor mkubwa wa vioo(mlipuaji) duniani lakini Google pixel na iphone watawekeza zaidi kwa LG kwa ajili ya iphone zijazo licha ya yield rate Samsung tutampiga chini aendelee kuwalipulia wengine.
Ndio maana processor mpya ya iphone x(A11 Bionic) hata A10 Samsung amezisikia redioni kwa sababu walishatulipulia mpaka chipset, na vioo tunwahama kama tumeweza chipset vioo hatushindwi.
Kama una hela ya kununua vyote hivyo ambazo ni malaki ya hela basi hushindwi kupata internet Tanzania. Zipo broadband na internet kibao za maana.Ukiwa na iphone huitaji upupu huo kila kitu kinakua stored icloud na miziki yote unaipata apple music au tidal au spotify
Muvi ni netflix hulu amazon prime videos etc.... tatizo la bongo network na bundle wanaminya sana
Mkuu kwani hiyo screenshot si ya iPhone??Ukiwa na iphone huitaji upupu huo kila kitu kinakua stored icloud na miziki yote unaipata apple music au tidal au spotify
Muvi ni netflix hulu amazon prime videos etc.... tatizo la bongo network na bundle wanaminya sana
Ndio maana apple anahitaji vendor wengine wa vioo kama LG kwa miaka ijayo,Samsung ni mlipuaji tu ndio maana walipigwa penalty baada ya kuchelewa kutoa OLED na wakasababisha iphone x zichelewe kutoka,akitokea vendor mwingine watajifunza na wataacha ulipuaji.
Samsung anaweka price za OLED anazotaka kwa sababu wanajua apple hawana pa kwenda tangu yeye ndie vendor mkubwa wa vioo(mlipuaji) duniani lakini Google pixel na iphone watawekeza zaidi kwa LG kwa ajili ya iphone zijazo licha ya yield rate Samsung tutampiga chini aendelee kuwalipulia wengine.
Ndio maana processor mpya ya iphone x(A11 Bionic) hata A10 Samsung amezisikia redioni kwa sababu walishatulipulia mpaka chipset, na vioo tunwahama kama tumeweza chipset vioo hatushindwi.
Mkuu am sorry,simu yangu aina ya xiaomi mi A2 lite global version kama nikitumia line ya hollotel kwenye network inashika network ya h tu hata h+ haishiki ila nikitumia tigo inaandika 4G kama kawaida,je nifanyeje ili angalao ishike network ya 3G kwenye network ya hallotel?Kama una hela ya kununua vyote hivyo ambazo ni malaki ya hela basi hushindwi kupata internet Tanzania. Zipo broadband na internet kibao za maana.
Halotel hawana 4G kwa bongo.... pia hizo h na h+ ni advanced versions za 3G, so relax tu....Mkuu am sorry,simu yangu aina ya xiaomi mi A2 lite global version kama nikitumia line ya hollotel kwenye network inashika network ya h tu hata h+ haishiki ila nikitumia tigo inaandika 4G kama kawaida,je nifanyeje ili angalao ishike network ya 3G kwenye network ya hallotel?
samsung ndo wametengeneza hiyo display ya iphone X ulitegemea kitokee nini???
H, H+ na wengine ni aina za 3G hivyo hizo nazo pia ni 3G.Mkuu am sorry,simu yangu aina ya xiaomi mi A2 lite global version kama nikitumia line ya hollotel kwenye network inashika network ya h tu hata h+ haishiki ila nikitumia tigo inaandika 4G kama kawaida,je nifanyeje ili angalao ishike network ya 3G kwenye network ya hallotel?