camera technology and the desgned tattoo that vibrate when someone call you. Sidhani kama kuna simu itashindana na Nokia hasa Nokia 808 the pureview katika hvyo vitu.
Mkuu kila kitu kina qualitiy yake samsung ni ngumu kutumia ila ina applications nyingi,Nokia ni rahisi kutumia ila ina application chache.....zamani nilipenda nokia ila kwa sasa napenda samsung
ni juzi tu nimesoma doc nimesahau nimesoma wapi,kwamba baada ya almost a decade ya nokia kuongoza soko la simu kwa mara ya kwanza samsung au zamzungu kama waluguru wanavyoita sasa inaongoza duniani!
yaani mi natumia haka ka-samsung ka bei rahisi kanaitwa samsung player star 2 ni katamu mno sasa najiuliza hao wanaotumia hayo ma galaxy ya mahela mengi watakuwa wanafaudu kiasi gani!nadhani samsung iko juu!

@all people nataka kufunga hapa...vip kuna mteja wa nokia ana jipya mpaka sasa?...naona SAMSUNG bado anaongoza!...nawasubiri!...pia naomba tuongelee matoleo mapya zaidi...
Lakini hii THREAD siielewi nikiangalia kwenye post mpya siioni hatakama mtu umepost muda huo huo inakuwa ngumu kuipata mpaka uingie kwenye posted by you then uiselect kwanini ?
Lakini hii THREAD siielewi nikiangalia kwenye post mpya siioni hatakama mtu umepost muda huo huo inakuwa ngumu kuipata mpaka uingie kwenye posted by you then uiselect kwanini ?