SAMSUNG vs NOKIA

Judgement ndo mkaamua kuweka kijiwe hapa akati mwenzenu niko kazini-tempo ya marketing

Chaliiy yangu hukopesi ! Yaani haikunijia kama unaokodolea macho uzi wako kiivo!
O/wise sory ! Umesahau mchakachuo walau aste, ni suna ?
 
Last edited by a moderator:
Chaliiy yangu hukopesi ! Yaani haikunijia kama unaokodolea macho uzi wako kiivo!
O/wise sory ! Umesahau mchakachuo walau aste, ni suna ?

walau mngenipa hi mm mwenyeji...zaidi mnataka kuvuana na nanihiu humu humu!..au mlijua tumelala?
 
walau mngenipa hi mm mwenyeji...zaidi mnataka kuvuana na nanihiu humu humu!..au mlijua tumelala?

Kumbe ndo maana machale yakanicheza!
Ndiyo ilibakia kiduchu tuvae nguo za kuogea! Ungetulaje deo? Umebugi sana kunistua!
Ungekaa kimya , kuna siku ungefumania "chabo!"
sasa Arif nazibiti si kawaida !
 
mpaka sasa nokia wanaongoza...ila haina maana samsung sio wazuri...nawasubiria wateja wa samsung waje kumwaga sumu zao hapa!

Samsung ni kitu ingine. Hata ukin unua ya bei ndogo utaifurahia. Nokia imebaki mazoea kwa wateja wake.
 
Samsung ni kitu ingine. Hata ukin unua ya bei ndogo utaifurahia. Nokia imebaki mazoea kwa wateja wake.

Nyangomboli unataka kusema watu wamejenga mazoea?pia ni wavivu katika utumiaji wa simu?...maana naona wengi wanasema nokia ni rahisi
 
Last edited by a moderator:
hapa naona marketing officers at work, ngoja nisepe.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ndo maana machale yakanicheza!
Ndiyo ilibakia kiduchu tuvae nguo za kuogea! Ungetulaje deo? Umebugi sana kunistua!
Ungekaa kimya , kuna siku ungefumania "chabo!"
sasa Arif nazibiti si kawaida !

Judgement na ulivyo na kilema cha huko chini...ningetengeneza movie aise!ningeuzaje?
 
Last edited by a moderator:
Judgement na ulivyo na kilema cha huko chini...ningetengeneza movie aise!ningeuzaje?

Umejuaje ?
I'm Phd holder wa hiyo makitu ?
Wewe je ?
angaa Adv. diploma inapatikana ?
 
Last edited by a moderator:
mpango mzima ni sony ericsson,experi neo ndo. Naitumia.
 
This message has been deleted by gambachovu
Reason: Copied from facebook
Retweeted in Twitter
 
Last edited by a moderator:
Mtalingolo siwezi kusema ni nzuri...toa mtazamo wako kwanza hapa...au mdau wa mchina?

Nimetumia aina tofauti za simu mkuu bt nimedumu nazo si zaidi ya mwaka, ila kwa takribani miaka miwili sasa natumia Nokia 5130 Xpress Music,
So bro BAGAH i think NOKIA is the best one...
 
Last edited by a moderator:
Wife, wakati wowote kuanzia June nataka kuweka lami barabara zote za Mpwapwa, on behalf of YOU Husninyo baaas !

waooh! Sante mpnz, nishawaambia na wanakijiji kama lami ipo njiani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…