yah chukua samsung ya uk iko hd kupta maelezo ila lg wachina wametoa copy vibaya sana tena ukienda dukani wengi wanaplay video za kwenye flash za 4k so utaona bonge la quality.Habari za saa hizi wanajf!
Nahitaji kununua TV ila sijajua kati ya hizo kampuni mbili ipi ni nzuri kwenye ubora wa picha na kudumu.
Nasikia Samsung TV ipo ya kichina, UK, Korea na South Afrika. Kuna ukweli kwenye hili?
Maoni yenu wanajf tafadhali.
Zote ni South Korean companies
Samsung walikuwa na QLED wakati LG wana OLED
Sasa mambo yakawa tofauti LG wakafyatua QLED na huku Samsung wakitengeneza OLED
Ila hata mimi nilichanganyikiwa nilipoenda Curry duka kubwa la kuuza electronics
Nilizunguka sana huku nikiziona za 4k mpaka zingine za 8k wingi wa pixels ndio ubora zaidi mmh
Nilkaa pale kama saa nzima na kuuliza mengi na mwisho nikakaa kabisa kuangalia screen kubwa kubwa huku nikizichambua ubora na picha
Kwa kweli mwisho niliondoka na LG OLED 55” k4 ila ni kwa mimi niliipenda LG
Ingawa nilikuwa mpenzi wa Samsung
Bei ziko juu ila ni bomba sana
Kama unaweza kuchukua kitu kizuri beba LG
Hd resolution ya kizamani sana, hata mchina wa laki 2 ni HD.yah chukua samsung ya uk iko hd kupta maelezo ila lg wachina wametoa copy vibaya sana tena ukienda dukani wengi wanaplay video za kwenye flash za 4k so utaona bonge la quality.
ila ukitaka kuwapatia waambie waiconnect tv na kingamuzi hapo ndo utaona uhalisia wa tv
Ulichukua mwaka gani? Mpk sasa unayo na haijwahi kukusumbua?
Naunga mkono nilinunua tangu 2017 hadi leo mambo super aisee now nawaza kuuza ninunue kitu smart kwa sababu nimeona ukiwa na smart TV ni mfano wa kuwa na dunia kiganjani aiseeZote ni South Korean companies
Samsung walikuwa na QLED wakati LG wana OLED
Sasa mambo yakawa tofauti LG wakafyatua QLED na huku Samsung wakitengeneza OLED
Ila hata mimi nilichanganyikiwa nilipoenda Curry duka kubwa la kuuza electronics
Nilizunguka sana huku nikiziona za 4k mpaka zingine za 8k wingi wa pixels ndio ubora zaidi mmh
Nilkaa pale kama saa nzima na kuuliza mengi na mwisho nikakaa kabisa kuangalia screen kubwa kubwa huku nikizichambua ubora na picha
Kwa kweli mwisho niliondoka na LG OLED 55” k4 ila ni kwa mimi niliipenda LG
Ingawa nilikuwa mpenzi wa Samsung
Bei ziko juu ila ni bomba sana
Kama unaweza kuchukua kitu kizuri beba LG
Naunga mkono nilinunua tangu 2017 hadi leo mambo super aisee now nawaza kuuza ninunue kitu smart kwa sababu nimeona ukiwa na smart TV ni mfano wa kuwa na dunia kiganjani aisee
Na connect internet then movie nazitafutia youtube na si kwenye flash/Pen drive
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
huu mtihani wako hata samsung 4k ya 4mln itafeli.yah chukua samsung ya uk iko hd kupta maelezo ila lg wachina wametoa copy vibaya sana tena ukienda dukani wengi wanaplay video za kwenye flash za 4k so utaona bonge la quality.
ila ukitaka kuwapatia waambie waiconnect tv na kingamuzi hapo ndo utaona uhalisia wa tv
Chukua LG, mimi nilinunua brand new LG 47' mwaka 2011 ipo hadi leo inapiga kazi vizuri tu, quality ya maana, sema Remote yake watoto walivunja so now ni manual maana nilikosa remote ya dizaini yake.Habari za saa hizi wanajf!