Samsung tv 29'' inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samsung tv 29'' inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kaygeezo, Feb 21, 2011.

 1. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RANGI NYEUSI
  CHOGO NDOGO
  MODEL TYPE:CS-29Z50MH
  TYOE: KS7C29Z50
  (UNAWEZA KU GOOGLE/BING KUPATA MAELEZO NA PICHA ZAKE)
  PICHA CHACHE NIMEATTACH
  HAIJAWAHI KWENDA KWA FUNDI WALA KUFUNGULIWA
  HAINA TATIZO LOLOTE
  IMETUMIKA MWAKA 1
  BEI 400,000TZS(negotiable!)
  KUIONA BURE! :decision:
   
 2. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Kama sikosei hili tangazo lilitoka longi na mwenyewe alishasema kesha uza
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kama kuna mtu anahitaji nnayo LG42 PLASMA ni mpya haijawahi tumika ni ya rangi nyeusi
   
 5. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Kwa nini unaitoa??
   
 6. s

  shosti JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  du nafikiri ukihitaji utajua kwa nini naitoa,sio hiyo tu kuna friji na friza,mziki wa nguvu,machine ya kufua na kuoshea vyombo na vyote vipya kabisa
   
 7. MwanaIFM

  MwanaIFM Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  mi nahitaji kuviona hivyo vyombo, haswa friji na hiyo tele, nipe bei kwanza basi nijue kama I can afford
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ntakutumia mawasiliano ya mtu ambaye unaweza kumpigia akaenda kukuonyesha,unaweza kwenda viona mbezi ya kimara
   
 9. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli..nilikuwa na TV 2 ,na hii nayo ipo sokoni...niliyemuuzia pia ni member wa JF
   
 10. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Attached Files:

 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mkuu, punguza hiyo kitu nikufanyie biashara nzuri
   
 12. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I hope umefungua thread nyingine maana hapa utapeperusha wateja ambao wanainterest na hii TV
   
 13. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #13
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nibeep nikupigie 0754964911
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Poa poa, nitakupigia mkuu, lakini ile kitu mkuu inasumbua charge...haiimili kabisa yani. Inatakiwa mtu asietumia cm sana. Lakini ipo poa tu.
   
 15. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #15
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka simu nyingi za siku hizi zinasumbua sana charge...me nimerudi kweny C905 ,ila soon ntachukua X10 ,nikiona battery perfomance ipo pouwa tutaiwe ka sokoni...:)
   
 16. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siamini kama hakuna wateja..loh!...anyways...bei imepungua jamani...300 - 350k
   
 17. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Ohhh ok sawa sawa....vipi sasa umeshafikia wapi na wewe umeshavitoa au bado???
   
 18. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #18
  Mar 8, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unamaanisha mimi..TV bado ipo :)
   
 19. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Kaka K je umeitumia kwa muda gani na bei yake kamili ni ngapi baada ya kupunguza,pia vizuri utuambie kama ina tatizo au la maake siku hizi biashara nyingi zimekuwa za kuuziana mbuzi kwenye gunia
   
 20. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #20
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NImetumia 1 year mzee,..bought it for 700k,nauza 300k..haina tatizo,,,lingekuwepo ningeweka bayana kama kwenye ile radio niliyouza(ilikuwa ina foftware problem ,uki press eject inakuambia locked)......whew!..natafuta hela niongezee nipate kubwa kidogo mzee...
   
Loading...