juu inaonesha 4G
dah kwaio kaka siwezi fanya manuva yoyote nikapata 3G
T mobile ni kampuni ya simu kama voda au tigo..wao sio watengenezaji wa simu....hizo simu zenye logo yao ni simu ambazo zilikuwa za contract lkn contact ikiisha unaweza kui unlock na kutumia mtandao wowote.....mi natumia huu mtandao kwa mwaka wa kumi sasa na kila nikija bongo huwa natumia simu niliyochukua tmobile.....hiyo simu iko pouwa na inakamata 3g kama kawa.
nimekupata sana, na hio contract itachukua mda gani kuisha ili sim ianze kukamata 3G, ofcourse hii yangu inafanya poa na hii 4G ingawa somdtime mtandao unarudi mpaka E
Kanzagood upo +255 au +1? Kama +1 uhakika ila kama 255 as long inashika mitandao ya hapa, it's unlocked so endelea tu kufurahia.
Am using LG G2 T Mobile iko poa na updates zote napata. Ila disable hivo vi bloatware vya T Mobile, nenda setting hafu general hafu apps hafu all apps kishagusa hivo zote zenye T Mobile kisha disable
nimenunua samsung S3 T-Mobile juzi hizi simu ni orijino au feki??