CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,074
Muda si mrefu kampuni ya Samsung imetangaza ingizo jipya katika smartphone za galaxy, Galaxy Alpha!
Ni simu nyembamba mno (6.7mm) na ina mwonekano mzuri sana. Tofauti na Galaxy S5 specifications zake ziko chini kidogo, kioo chake ni 720p, octa core processor na battery yake ni 1860mAh pekeyake!!! Simu itaanza kuuzwa September, na bei bado hujatangazwa.
does it look familiar? ..Naona sasa Samsung wameanza kuhama kwenye maplastic, safi sana.